Pre GE2025 Dar: Method Damian Kumdyanko adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wakiwa na silaha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lucky Dube sang;
🎶 People dying like flies every day,
You read about it in the news,
But you don't believe it,
You'll only know about it,
When the man in the long black coat,
Knocks on your door,
Cause you're his next victim,
 
Task force za magu bado zina operate, ila sasa hazina kiongozi rasmi, so zinajiendea tu bila uratibu wowote, mtu akijisikia tu hamu ya kitimoto anaingia road, anakamata mtu wake, anamteka na kudai ngawira kwa jamaa zake, na kwa sheria mpya hawa watu huwezi kuwashtaki, hata ukiwakamata ready handed.
 
UKo Kenya n BALAA mkuu nimetoka last week nilikuwa kama miezi 3 watoto wazuri wanatekwa mbayaa mkuu mnapigiwa tupeni million 3 tumwachie aisee ukifika siku amjatekelezs mnakutana na MAITI imetupwaaa
 
Yeye ndiye muasisi, ila vijana wake wamenogewa, ukizingatia sasa hivi usalama wa raia si kipaumbele cha mama wala mjomba kassim, hivyo tutegemee kuendelea kupata taarifa kama hizi kila iitwapo leo.
Kwahy vijana wanafanya hvy kwa maagizo na nani
 
Niliogopa HATA kutoka na mwanamke club NKAHISI mmmmh
Dushelele ikaishia kuangalia tu kwa macho moyoni inasema let's love lead

HATA kutoka kwenyewe saa 12 asbh kweupee uzuri hotel sikuwa NAYO mbali vs club
 
Shida Bora wakuue kuliko wajudinye WAANZE sambza UCHAFU mtandaoni.unajipiga risasi hatakama n ya rashashaa
 
Hiyo nyumba Haina CCTV camera au walikwama wapi kuchukua video
 
Watu wa mzena wameanza kuchukuliwa na wao? Sasa nani yuko salama?
 
Haya mambo mbona kipindi hichi cha Samia yamekuwa mengi na yeye amekaa kimya ? Viongozi wa dini wako kimya na huku raia wanatekwa na kuuwawa.
Alishasema KIFO NI KIFO TU!

TUJIANDAE NA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU MWAKA HUU BILA KUSAHAU KUPIGA KURA EWE MTANGANYIKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…