Uchaguzi 2020 Dar: Meya Boniface Jacob atangaza kutogombea Udiwani katika Uchaguzi Mkuu ujao

Uchaguzi 2020 Dar: Meya Boniface Jacob atangaza kutogombea Udiwani katika Uchaguzi Mkuu ujao

Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa na rafu sana. Mpinzani yoyote ambaye atazembea kupambania kura zake itakula kwake na hii inahusu hata majimbo yenye wapenzi wengi wa vyama vya upinzani.

Magu ameonesha siyo mtu wa huruma linapokuja suala la siasa za upinzani na hawa wenye msimamo mkali ndiyo kabisa.
 
Ushauri wa bure; asijisahau na kutafuta kazi nyingine kwa ajili ya kujikimu, uwezekano wa yeye au Kubenea kushinda ubunge jimbo la Ubungo mwaka huu ni 10%.
 
Back
Top Bottom