Uchaguzi 2020 Dar: Meya Boniface Jacob atangaza kutogombea Udiwani katika Uchaguzi Mkuu ujao

Uchaguzi 2020 Dar: Meya Boniface Jacob atangaza kutogombea Udiwani katika Uchaguzi Mkuu ujao

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob ametangaza kung’atuka na kwamba hatagombea tena udiwani wa kata ya Ubungo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui Chadema kumekosewa nini huko haiwezekani watu wajitoe namna hii, nijambo la muda tu majibu tutayapata hapa hapa muda na siku ikifika.
 
Ushauri wa bure; asijisahau na kutafuta kazi nyingine kwa ajili ya kujikimu, uwezekano wa yeye au Kubenea kushinda ubunge jimbo la Ubungo mwaka huu ni 10%.

Huu utafiti umeufanya lini kwa kutumia vigezo gani? Kama ni kutumia NEC ya CCM kweli atashinda kwa hiyo 10%!

Lakini kama ni Uchaguzi tunaosema A FREE AND FAIR ELECTION kwa usimamizi wa TUME HURU ya Uchaguzi(The Independent National Election Commission), CCM ni 2% na CHADEMA ni 98%.....!!Ukweli na Uwazi.
 
Ni jambo jema, hata kama 20 wanataka kugombea ubunge ubungo wagombee tu, mchujo Wa ndani ya chama ufanyike.atakayeshinda ashinde, wengine watamuunga mkono.
 
Hatua hiyo inakuja siku kadhaa baada ya wanachama zaidi ya 2000 wa chama chake kutia saini na kumfuata nyumbani kwake kumtaka agombee ubunge wa jimbo la Ubungo katika uchaguzi mkuu ujao 2020.
Kwaheri politike
 
Back
Top Bottom