Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui Chadema kumekosewa nini huko haiwezekani watu wajitoe namna hii, nijambo la muda tu majibu tutayapata hapa hapa muda na siku ikifika.Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob ametangaza kung’atuka na kwamba hatagombea tena udiwani wa kata ya Ubungo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wa bure; asijisahau na kutafuta kazi nyingine kwa ajili ya kujikimu, uwezekano wa yeye au Kubenea kushinda ubunge jimbo la Ubungo mwaka huu ni 10%.
Njaa IPO kazoea kula vya kugombania hawezi acha.mimi nilidhani anaachana na hivyo vya kugombea awe mshauri tu!!
Utaijua October bwashee!
Kwa nn asipitishwe? Cha msingi kura za maoniInajulikana Kubenea anasubiria mafao, nina wasiwasi kuwa kamati kuu hawatampitisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaheri politikeHatua hiyo inakuja siku kadhaa baada ya wanachama zaidi ya 2000 wa chama chake kutia saini na kumfuata nyumbani kwake kumtaka agombee ubunge wa jimbo la Ubungo katika uchaguzi mkuu ujao 2020.
Kwani kesi ya kufanya fujo magezera imeshaisha ? Kama haijaisha lolote laweza kutokea akakosa sifa ya kugombea tena.Atagombea Ubunge jimbo la Ubungo