mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Kweli angesema neno kwasabb yeye ndoanae jua wageni (wazungu) waliingia je nchini kwa shughuri gani na lini? passport zao airport zilikua scaned.....kama uturuki ambavyo imewakamata wa saudia walio shiriki zoezi la kumua khashogi....watu 15 camera za airport na passport zao zimebainiwa wakati wanaingia uturuki kwa wakati tofouti nategemea kitu kama hicho kwa waziri wetu....Wazungu wanao ingia nchini sio wegi tunaweza kuwa trace haraka.
Waziri wa mambo ya ndani Mh Kangi Lugola ni kama amepugwa ganzi vile. Hajasikika kokote, kwa kulaani na kuonesha mkakati wa kumpata Tajiri Mo.
Kama tujuavyo kwa kila tukio Nchini, lazima waziri huyu atoke hadharani na kusema chochote.
Je Waziri amejiepusha na huu mchezo mchafu?
Au Hataki kushiriki kwenye ishu ya kitoto?
Au sio level yake kusemea hili?