Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Hii nchi ina mambo ya ajabu, lakini tutaendelea kushuhudia mambo ya ajabu zaidi ya hili la kutekwa MO katika eneo la hoteli yenye hadhi, kweupe na baadhi ya watu wakishuhudia, hapo hapo polisi wasiweze kutrace chochote masaa zaidi ya 40 tangu tukio kutokea.

Mara tu baada ya tukio anatokea mtu na kutweet, kisha kuutangazia umma kuwa MO amepatikana na wahalifu wapo mikononi mwa polisi. Kabla ya kufanya hivyo anakusanya waandishi wa habari na kuuambia umma MO atapatikana akiwa salama.

God confuses and confounds the wicked.

Psalm 55:9 Destroy, O Lord, and divide their tongues: for I have seen violence and strife in the city.

Reasons behind this abduction would amaze you! Who can believe our report?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…