Juma chitende
Member
- Oct 3, 2018
- 42
- 7
Bring back mo ukiwa salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unafikiria garageGarage kuna watu wanawaka leo
Kamanda wa Polisi Mkoa amefunga mipaka yote ya nchi.!!?
Uwezekano mkubwa haya ni maigizo tu kwa nia ya kujipatia kiki.Ila kwa story za vijiweni,watu wengi inaonekana wanaamini serikali ina mkono katika tukio la Mo
Dadavua mkuu maana sijakusomaIla kwa story za vijiweni,watu wengi inaonekana wanaamini serikali ina mkono katika tukio la Mo
Hatari sanaKamanda wa Polisi Mkoa amefunga mipaka yote ya nchi.!!?
Nimeona niweke tuu mawazo yangu kwenye maandishi, lakini; mimi sio kada wa kokote.
Mwisho wa kuwaza....[emoji125][emoji125]
Hata njia za panya?Kamanda wa Polisi Mkoa amefunga mipaka yote ya nchi.!!?
Hata za watu hana uwezo nazo .Hata njia za panya?