Adolf Hitler Jr
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 340
- 263
Katika bara la Afrika kwa mwaka huu MO ni tajiri wa saba kutekwa. Hivyo hili ni wimbi jipya la msingi tuviamini vyombo vyetu vya usalama. Hata huko kwenye hayo mashirika ya kijasusi uliyoyataja haya hutokea
HahaaUna ugonjwa wa ,,Stockholm Syndrome“, Muhindi keshakumaliza kazi, dadadeki, Muhindi anakuuma hivyo?
Umenikumbusha wale wazee wanafanya kazi kwa Muhindi Posta kulea watoto na kutumwa, miaka zaidi ya 30 kutumwa kulea watoto wa Kihindi, ni waaminifu kwa Muhindi klk hata kwa babake!
Lazima tuanzie mahala, napo ndio hapa better late than never!Mbona mwandishi wa mwananchi haikua hivi...this is not fair
Hana mkwanjaMbona mwandishi wa mwananchi haikua hivi...this is not fair
Kila nikimfikiria MO naumia sana moyoni,sijawah kuwa na mawazo mabaya kuhusu serikali,lakn kwa ishu hii naona kabisa INTELIGENCIA YETU HAINA MAANA KABISA
IVI KWELI SERIKALI IMESHINDWA KUTUMIA WATAALAMU WA MASUALA YA KIPOLISI HATA KIJESHI KUWATAMBUA WATEKAJI WA MO NA KUJUWA YUPO WAPI
BASI KAMA TUMESHINDWA TUITE VYOMBO VYA NJE VIJE VITUSAIDIE KUMTAFUTA JAMAA
TUNASHINDWAJE KUITA CIA,FBI, NA VYOMBO VINGINE VYA KIMATAIFA
TUTUMIE VYOMBO HIVI SABABU JAMAA YUPO SMART
Makonda ndo yuko na mo wala msiumize kichwaNiswali tu nauliza tutafakari kwa pamoja kwa mujibu ya historia ya vijana wa Sirro
Daudi Albert Bashite usidhani unanguvu kuliko Mungu hiyo nafasi itapita na ulaanike wewe na kizazi chakoUna ugonjwa wa ,,Stockholm Syndrome“, Muhindi keshakumaliza kazi, dadadeki, Muhindi anakuuma hivyo?
Umenikumbusha wale wazee wanafanya kazi kwa Muhindi Posta kulea watoto na kutumwa, miaka zaidi ya 30 kutumwa kulea watoto wa Kihindi, ni waaminifu kwa Muhindi klk hata kwa babake!
Spinning Doctors mwachieni nyie mashetani wakubwaKatika bara la Afrika kwa mwaka huu MO ni tajiri wa saba kutekwa. Hivyo hili ni wimbi jipya la msingi tuviamini vyombo vyetu vya usalama. Hata huko kwenye hayo mashirika ya kijasusi uliyoyataja haya hutokea