Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Una ugonjwa wa ,,Stockholm Syndrome“, Muhindi keshakumaliza kazi, dadadeki, Muhindi anakuuma hivyo?

Umenikumbusha wale wazee wanafanya kazi kwa Muhindi Posta kulea watoto na kutumwa, miaka zaidi ya 30 kutumwa kulea watoto wa Kihindi, ni waaminifu kwa Muhindi klk hata kwa babake!
Hahaa
 
Kila nikimfikiria MO naumia sana moyoni,sijawah kuwa na mawazo mabaya kuhusu serikali,lakn kwa ishu hii naona kabisa INTELIGENCIA YETU HAINA MAANA KABISA

IVI KWELI SERIKALI IMESHINDWA KUTUMIA WATAALAMU WA MASUALA YA KIPOLISI HATA KIJESHI KUWATAMBUA WATEKAJI WA MO NA KUJUWA YUPO WAPI

BASI KAMA TUMESHINDWA TUITE VYOMBO VYA NJE VIJE VITUSAIDIE KUMTAFUTA JAMAA

TUNASHINDWAJE KUITA CIA,FBI, NA VYOMBO VINGINE VYA KIMATAIFA

TUTUMIE VYOMBO HIVI SABABU JAMAA YUPO SMART

Intelligencia iliyopo ni kuiba kula tu ili chama sikivu lizidi kujikita kileleni!!
 
tuendelee na hii kitu mkuu
NASOMA HALBADIRI. 1 Nasoma albadiri, nawambia si utani, Ninawapa indhari, wa mba.jpg
 
Una ugonjwa wa ,,Stockholm Syndrome“, Muhindi keshakumaliza kazi, dadadeki, Muhindi anakuuma hivyo?

Umenikumbusha wale wazee wanafanya kazi kwa Muhindi Posta kulea watoto na kutumwa, miaka zaidi ya 30 kutumwa kulea watoto wa Kihindi, ni waaminifu kwa Muhindi klk hata kwa babake!
Daudi Albert Bashite usidhani unanguvu kuliko Mungu hiyo nafasi itapita na ulaanike wewe na kizazi chako
 
Katika bara la Afrika kwa mwaka huu MO ni tajiri wa saba kutekwa. Hivyo hili ni wimbi jipya la msingi tuviamini vyombo vyetu vya usalama. Hata huko kwenye hayo mashirika ya kijasusi uliyoyataja haya hutokea
Spinning Doctors mwachieni nyie mashetani wakubwa
 
Back
Top Bottom