Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Kwa wapumbavu kama huyu October man kuzidi kuongezeka JF, sijui wanapitia milango gani hiyo wasikoweza kuhojiwa kama wana akili timamu kabla ya kufunguliwa.
Unaweza kuwa na hoja ya maana sana lakini kwa jinsi ulivyomshambulia huyo jamaa, inaonekana hupendi kabisa hoja zinazopingana na mtazamo wako yaani kama alivyo Jiwe AKA Mgugu maji na mwanae mwenye mkoa wake
 
Mwarabu, mhindi na mzungu wakivaa mask usoni utawatofautishaje?
 
Kwa maoni yangu, MO yupo Salama, may be kuna kitu hawajakubaliana na watekaji wake, kwa hiyo kauli na confidence, DAB is at the Centre of it, wakikubaliana ataachiwa. Ni suala muda tu. All in all tumuombee MO
Tutaendelea kumtafuta MO na kuhakikisha watanzania wanapata majibu sahihi na majibu sahihi ni kwamba MO AMEPATIKANA NA WATEKAJI WAKE WAMEKAMATWA.

Tusipende ku twist maneno ili kufurahisha watu.
 
Mwarabu, mhindi na mzungu wakivaa mask usoni utawatofautishaje?

😂😂😂utashtakiwa wewe ukisema mzungu maana yake umewakilisha bara la ulaya ujaigusa nchi specific sasa wewe ukisema muhindi inatosha kushtakiwa hapo ushaigusa nchi ya watu ungesema wanaweza kuwa wa asia.
 
Bodyguard wa nn sasa Mungu pekee brie

Mungu anapitisha mambo yake kutokana na visabu mbalimbali uwezi kuumwa alafu usile dawa useme mungu pekee utakufa unajiona ndio hivyo hata MO kutembea na mlinzi ni kisababu ambapo mungu anapitisha karma yake kutokana wewe ushaweka kisababishi so mungu anaweza pitisha mlinzi akapambana na waovu ukapona.

ielewe hii principle kuanzia leo.
 
Yupo ikulu anakula upepo wa bahari ya hindi..mazungumzo yakienda poa watamwachia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…