Kwani mazungumzo yake na jiwe yanamalizika lini?Tumuombe Mungu amnusuru Mo na amuokoe kutoka katika mikono ya kidhalimu ya Watesi wake, amen!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mazungumzo yake na jiwe yanamalizika lini?Tumuombe Mungu amnusuru Mo na amuokoe kutoka katika mikono ya kidhalimu ya Watesi wake, amen!
AminaKama yu hai Mungu aendelee kumtetea.
Watu wanapotea raisi Yuko kimya...!!
Yaaani zitto namkibali Sana kwa kauri zake kadhaa,
Mfano ,ibara flani itumike , tumekabidhi inchi sijui kwa watu gani vile ??
Kaka acha basi,Labda sijui lakini factor kubwa ni hela ya kuendesha huo ujambazi ndio huwa ishu kubwa. speedboat huwa ni ghali mno ilihali majambazi huwa hela zao ni za kuunga unga kabla ya kufanya tukio, ndio maana utaona huwa labda wana milioni mbili ambayo huitumia kupata Smg/Ak-47 then kuhusu magari huwa wanayateka ndio wakafanyie ujambazi. Majambazi kutumia speedboat aisee sijawahi kusikia matukio ya dizaini hii hapa nchini kwetu
Nimependa huu mstari umesemaTangu lini majambazi wakateka mtu?! Au hata kama majambazi, je unafahamu level yao ya uhalifu? Unafahamu wanatoka wapi ili wakidhi hoja yako kwamba ni majambazi wa kawaida?
Kubwa kuliko yote! Binafsi sijazungumzia suala la kwenda nchi nyingine ingawaje hilo linaweza kuwa jambo jepesi kama kufumba na kufumbua kwa kutumia njia ya bahari! Nilichosema ni kwamba, kama wanahitaji ku-deal nae kwanza kama vile kumtesa na mambo mengine kama hayo, wanaweza tu kuwa nae baharini wakitumia mashua ya kawaida ya uvuvi ili wasitiliwe mashaka na vyombo vingine vya baharini vitakavyopita jirani nao! Kwa staili hiyo, wakakaa nae huko baharini kwa siku kadhaa huku wakihama hama tu toka sehemu moja hadi nyingine huku wakijifanya ni wavuvi na wakati huo huo akina Sirro wakihangaika na mapori ya mkoa wa pwani au hata Morogoro na Lindi!
Hahaha! Majambazi toka lini wakateka mtu!Nimependa huu mstari umesema
Toka lini majambazi wakateka mtu
Wanapojitokeza ukawatandika risasi hao watakuwa wanaojulikana na sio wasiojulikanaNjia pekee ya kuwakomesha wasiojulikana ni kuwatandika Risasi popote wanapojitokeza itawaogopesha waache kuonea watu.
Tukio la Lissu kulikua na hizo kamera lakini ikiwa hizo kamera zipo chini ya mamlaka ya mtekaji hazina maana.Rais mnamlahumu nini? Masaa yote mnaleta mambo ya siasa. Rais atajiingizaje kwenye mambo ambayo yamekaa ndio sivyo, haijulikani kama mambo yenyewe ni maiigizo for some reason au yana ukweli.
Nimejaribu kutafakali tukio zima nikaona mambo mengi don't seems to add up at all, hivi inaingia akilini kwamba watu ambao wako determined kuteka MTU watamsubilia aingie kwenye eneo ambalo kuna watu wengi,CCTV cameras na smartphones za ku-record matukio, in other words atekwe sehemu ambayo publicity ya tukio zima itakuwa na impact kubwa, kwa nini hakutekwa akitoka geitini kwake au akiwa njiani kuelekea kwenye gym, si wanasema ana kawaida ya kujiendesha mwenyewe - watekaji gani wanaweza kujitumbukiza sehemu ambayo wangeweza kuwa cornered kirahisi au kukamatwa na askali wa Doria??
Sina nia mbaya ya kuwasema vibaya wafanya biashara, lakini kumbuka kuna wengine ambao unaweza kukuta wanajingiza kwenye mambo ambayo kwa akili za kawaida si rahisi kuamini - niliwahi kushuhudia mifano kadhaa huko Ulaya na US - Siku mmoja kulitolewa habari kwamba mfanya biashara mkubwa aliye kuwa anamiliki magazeti ya the Mirror, Club ya mpira ya Chelsea,Kampuni kubwa ya bima kwa wastaafu nk eti alipotea baada ya kuteleza na kutumbukia baharini wakati akivinjari baharini na Yatch yake!! Polisi wali angahika sana kutafuta mwili wake bila mafanikio,baadae wapelelezi wakatilia shaka upotevu wake wakalazimika kufatilia nyenendo za makampuni yake, mambo waliyo gundua huko siwezi kuyarudia hapa, MTU mwenyewe alikuwa mwenye asili ya kiyahudi baadae ikaja gundulika kumbe alikimbilia huko na kubadiri sura!
Nisije kueleweka vibaya kwamba labda sikusikitishwa na utekwaji nyara wa mzalendo mwenzetu Mr.Mo, far from it - ninacho shauri vyombo vya Dola zichunguze kwa kina kwa uzito ule ule pande zote mbili i.e personal na washindani wake.
Kumbuka kulingana na ripoti ya jeshi la polisi wale watekaji walikuwa wamevaa mask.Rais mnamlahumu nini? Masaa yote mnaleta mambo ya siasa. Rais atajiingizaje kwenye mambo ambayo yamekaa ndio sivyo, haijulikani kama mambo yenyewe ni maiigizo for some reason au yana ukweli.
Nimejaribu kutafakali tukio zima nikaona mambo mengi don't seems to add up at all, hivi inaingia akilini kwamba watu ambao wako determined kuteka MTU watamsubilia aingie kwenye eneo ambalo kuna watu wengi,CCTV cameras na smartphones za ku-record matukio, in other words atekwe sehemu ambayo publicity ya tukio zima itakuwa na impact kubwa, kwa nini hakutekwa akitoka geitini kwake au akiwa njiani kuelekea kwenye gym, si wanasema ana kawaida ya kujiendesha mwenyewe - watekaji gani wanaweza kujitumbukiza sehemu ambayo wangeweza kuwa cornered kirahisi au kukamatwa na askali wa Doria??
Sina nia mbaya ya kuwasema vibaya wafanya biashara, lakini kumbuka kuna wengine ambao unaweza kukuta wanajingiza kwenye mambo ambayo kwa akili za kawaida si rahisi kuamini - niliwahi kushuhudia mifano kadhaa huko Ulaya na US - Siku mmoja kulitolewa habari kwamba mfanya biashara mkubwa aliye kuwa anamiliki magazeti ya the Mirror, Club ya mpira ya Chelsea,Kampuni kubwa ya bima kwa wastaafu nk eti alipotea baada ya kuteleza na kutumbukia baharini wakati akivinjari baharini na Yatch yake!! Polisi wali angahika sana kutafuta mwili wake bila mafanikio,baadae wapelelezi wakatilia shaka upotevu wake wakalazimika kufatilia nyenendo za makampuni yake, mambo waliyo gundua huko siwezi kuyarudia hapa, MTU mwenyewe alikuwa mwenye asili ya kiyahudi baadae ikaja gundulika kumbe alikimbilia huko na kubadiri sura!
Nisije kueleweka vibaya kwamba labda sikusikitishwa na utekwaji nyara wa mzalendo mwenzetu Mr.Mo, far from it - ninacho shauri vyombo vya Dola zichunguze kwa kina kwa uzito ule ule pande zote mbili i.e personal na washindani wake.
Mbona wasiojulikana waliomshambulia Lissu hawakuwa wamevaa mask na CCTV ziling'olewa muda mfupi baada ya Lissu kushambuliwa lakini hadi leo upelelezi haujaanza? Mkuu usitetee wauaji pasipo kutumia akili.Kumbuka kulingana na ripoti ya jeshi la polisi wale watekaji walikuwa wamevaa mask.
Ki kawaida mtu akivaa masiki uwezi ukafahamu sura yake kwa macho ya kawaida ya kamera za cctv.
Kama utakumbuka shambulio la Westgate lilivyokuwa bila shaka utapata picha.
ASANTENI