Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Zakaria alishaonyesha mfano inatakiwa wengine wafuate sasa...... zis iz too much...
Mambo sasa againn hahahaaha taarifa yake ya mwanzo hùwa inapìngana na ile atakayoitoa baadaeeti ametekwa na wazungu 2! kioja cha mambosasa
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji87][emoji2]Naona sura ya uwekezaji msimbazi
MATUKIO YA MMOJA MMOJA ambayo Dhamira Ya WATENDAJI haijukukani Ni Ngumu Kuyazuia.Ila inauma sana nchi hii ilipo fika sasa mtu kama mimi wakiniteka si itakuwa basi na huku tuliko mabode kuinama itakuwa kilio kwa wazazi na hatimae watanisahau tu tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana haya matukio hatukuyazoee kabisa na ni kwa nini awamu hii yamekuwa mengi Dana
Enzi za jakaya yalikuwepo ila sio kwa kasi ya 4g ya sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama MO anatekwa mi si ndo watanifyekelea mbali kabisa
Kule Tarime waliokwenda wamejipanga tena wakiwa wengi na bunduki za kutosha lakini yule mfanyabiashara Zakaria aliwatangwa Risasi mpaka wakapagawa, njia ni kuishi kininja tu ukiona wasiojulikana anajihami kininja kwa kasi kubwaMkuu uko serious kweli,unajua unakuwa unacheza na your life..jamaa wamekuja wamejipanga,
HahahahahahaaaaAkija kuonekana utasikia yupo mahakama ya kisutu ana kesi ya uhujumu uchumi au kukwepa kulipa kodi
Kwa hiyo kwa kuwa mo katekwa na walishindwa kuzuia utekaji huo, TISS hawana kazi ya kufanya kwa sasa?Watanzania wengi hamjielewi, hili ni jukumu la Polisi kumpata Mo na kuwakamata watekaji.
Kazi ya Tiss ni kutowa information kabla ya tukio kutokea, Tiss hawana power of arrest
By the way Makonda ndio mwenye uwezo wa kumpata Mo alipo, narudia Makonda akamatwe mara moja kama kweli jeshi la Polisi linajitambuwa.