Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Kumteka tajiri namba 1 Tanzania Top 10 richest people in Tanzania (orodha ya matajiri 10 Tanzania) - JamiiForums ni kutangazia ulimwengu kuwa Tanzania sio salama tena kwa wawekezaji. Na hii italeta na negative impact kwenye uchumi wetu huu wa kusuasua.

Kama Mo alikua na makosa kwanini hawakumfungulia mashtaka na kumpeleka mahakamani? Au kwanini hawakumuita kiustaarabu na kumhoji?

Hili ni kosa kubwa sana na waliolifanya wanaitaji kushighulikia ipasavyo.
IMG_0525.JPG
 
Ila inauma sana nchi hii ilipo fika sasa mtu kama mimi wakiniteka si itakuwa basi na huku tuliko mabode kuinama itakuwa kilio kwa wazazi na hatimae watanisahau tu tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana haya matukio hatukuyazoee kabisa na ni kwa nini awamu hii yamekuwa mengi Dana
Enzi za jakaya yalikuwepo ila sio kwa kasi ya 4g ya sasa
MATUKIO YA MMOJA MMOJA ambayo Dhamira Ya WATENDAJI haijukukani Ni Ngumu Kuyazuia.

Lkn uimara unaotakiwa Ni BAADA ya Tukio Kutokea, UPAMBANAJI wake uko kwa Kiwango GANI?
 
Mkuu wa polisi Kanda maalum ya Daressalaam Lazaro mambosasa amethibitisha kuwa watu wawili wenye asili ya kizungu ndio Waliomteka mfanyabiashara Mo dewji, source #mwananchi,. Swali kamanda anatoaje taarifa mapema hivi ina maana uchunguzi umefanyika au anapewa taarifa na waliokuwa karibu na tukio?
 
Mkuu uko serious kweli,unajua unakuwa unacheza na your life..jamaa wamekuja wamejipanga,
Kule Tarime waliokwenda wamejipanga tena wakiwa wengi na bunduki za kutosha lakini yule mfanyabiashara Zakaria aliwatangwa Risasi mpaka wakapagawa, njia ni kuishi kininja tu ukiona wasiojulikana anajihami kininja kwa kasi kubwa
 
Kwahiyo unakonkludi waliomteka ni wale jamaa wasiojulikana kwenye Nissan nyeupe??? Kwani pyu pyu pyu ilihusika?
 
Watanzania wengi hamjielewi, hili ni jukumu la Polisi kumpata Mo na kuwakamata watekaji.

Kazi ya Tiss ni kutowa information kabla ya tukio kutokea, Tiss hawana power of arrest

By the way Makonda ndio mwenye uwezo wa kumpata Mo alipo, narudia Makonda akamatwe mara moja kama kweli jeshi la Polisi linajitambuwa.
Kwa hiyo kwa kuwa mo katekwa na walishindwa kuzuia utekaji huo, TISS hawana kazi ya kufanya kwa sasa?
 
Back
Top Bottom