Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Mambosasa anavideo footage kua ni wazungu na kadhibitisha bila kutia shaka ama kaona rangi tu akakutupuka kua mi wazungu??
Usikute ni wale Wazungu wanaopigia Watu simu wakanunue madawa gani sijui na baadae wanawaliza.
 
Hii issue tatizo linachukuliwa kisiasa zaidi....
Kwa kweli ili kuepusha mengi matajiri wanatakiwa wawe makini maana wanaangaliwa na watu wengi sana wema kwa wabaya.

Yule ni tajiri na mfanyabiashara yawezakuwa ni utekaji wa kawaida tu lengo la watekaji wapate pesa au ni kwenye mambo yao ya kibiashara.

Nilijua kwa sababu jamaa ni mwanachama wa CCM watu watasema ni utekaji wa kawaida...ila mpaka sasa kuna stori zimeanza kuundwa.
 
Wazungu! Hii movie mpya, upinzani wa biashara au ni nini
 
Mhe.mkuu wa mkoa wa Dar- es- salaam Paul Makonda ametangaza kupatikana kwa mfanyabiashara Mo akiwa salama. Pia ametangaza kukamatwa kwa watekaji wake.Alhamdulillah
 
Mo ni mtu wa watu sana. Nimewahi kumuona mara kibao tu anatembea kwa miguu tena peke yake. Nadhani ana maisha fulani mbali na utajiri alionao unamfanya aoenekane wa kawaida. Sijui watekaji wanataka nini?? Mungu amsaidie wamrudishe salama.
Nimejikuta naogopa zaidi Leo. Kama Mo anatekwa kina sisi usalama wetu ukoje? Haijalishi ametekwa Kwa sababu IPI ila ile kutekwa tu tayari ni hatari Kwa usalama wetu.
Mungu amlinde huko alipo atoke salama.
Sema hii nji bwana unaweza kuta sio wazungu wala nini likawa Kama lile tukio LA Zakaria Na Majambazi kumbe ..........
 
Hapana inategemea na mtu...fuatilia maisha anayoishi Warren buffet au aliyokuwa akiishi Steve job utaona..ni wewe tu jinsi unavyojiweka na jamii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…