minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Wamsake le mutuz anajua kila kituItalibebaje wakati first suspect ni serikali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamsake le mutuz anajua kila kituItalibebaje wakati first suspect ni serikali?
Usikute ni wale Wazungu wanaopigia Watu simu wakanunue madawa gani sijui na baadae wanawaliza.Mambosasa anavideo footage kua ni wazungu na kadhibitisha bila kutia shaka ama kaona rangi tu akakutupuka kua mi wazungu??
Hii issue tatizo linachukuliwa kisiasa zaidi....Kwa akili zangu nilikuwa najua watu waliofikia level kama hiyo kuna mambo mengine ambayo hawashindwi kuyapata kuwa nayo katika mazingira yao yanayowazunguka kwa usalama zaidi ...mfano kuwa na gym binafsi kwa tajiri kama huyu nahisi ingelikuwa poa
Ila kuna kipindi alikuwa anapost mambo ya madeni maden sijui tuunge doti ?
Mchango wao mkubwa katika nchi kuliko wa UFIPA.Kwa kipi hasa?
We mganga si ufanye maarifa usaidie taifa?Hebu fanya maarifa mdau tuzipate
Nimejikuta naogopa zaidi Leo. Kama Mo anatekwa kina sisi usalama wetu ukoje? Haijalishi ametekwa Kwa sababu IPI ila ile kutekwa tu tayari ni hatari Kwa usalama wetu.Mo ni mtu wa watu sana. Nimewahi kumuona mara kibao tu anatembea kwa miguu tena peke yake. Nadhani ana maisha fulani mbali na utajiri alionao unamfanya aoenekane wa kawaida. Sijui watekaji wanataka nini?? Mungu amsaidie wamrudishe salama.
Le mutuz kamshauri waachane na hiyo Sinema kwani imechezwa vibaya haitauzikaKapatikana kwa maelezo ya bashote
Hapana inategemea na mtu...fuatilia maisha anayoishi Warren buffet au aliyokuwa akiishi Steve job utaona..ni wewe tu jinsi unavyojiweka na jamii..Hamna kuishi na watu ukishakuwa bilionea wa kidunia huwezi kuishi kama raia wa kawaida watu wanaoweza kujudhuru ni wengi.
Ww unadhani unaweza kukutana na Abrahamovic anatembea bila hata mlinzi?!eti anaenda public gym ni uzembe wa hali ya juu hamna bilionea wa kidunia ambaye anaishi kama kuku wa kienyeji eti aende public gym bila ulinzi.
Huko kwny viwanja vya mpira kwenye kumetengwa maalum kwa watu muhimu labda ww ndio hujui
Kwa lipi?, Mccm uwa atekwiChibu dangote watch out ! You are the next.
Sinema za Bashite na le mutuzWazungu! Hii movie mpya, upinzani wa biashara au ni nini
Watu walioshuhudia tukio wanaweza kuelezaa vizuri zaidi kuliko sisi kufanya mchezo wa kuotea au kukisiaHow can you recognise the race of someone in a mask? Kama rangi sawa lakini cha race siamini mpaka pale watudhihirishie bila mashaka..
Jamaa mara kibao ukimuona anakuwa aloneSidhani kama alikuwa hana walinzi. Inawezekana walizidiwa ujanja.
Walinzi wetu hawa, wakisikia mlio wa bunduki tu, wanapoteza fahamu!