Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Naomba zibaki kuwa ni tetesi tu, MUNGU Ibariki TANZANIA.
Nchi ya matukio ya kuwasahaulisha watanzania juu ya matumizi mabaya ya pesa zao wanazolipa kodi kutumika vibaya kuwanunua wapinzani kurudia chaguzi kwa gharama kubwa huku huduma za kijamii zikizidi kudorola, wanatengeneza Matukio ili watanzania wasahau vingi vioja wanavyofanyiwa na CCM kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…