Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Mfanyabiashara Mo dewji inadaiwa kuwa ametekwa alfajiri ya leo akiwa anaingia Gym huku waliomteka wakipiga risasi juu na kukimbia nae
 
Kama "magenius" huko TISS wamewahi kuchemsha vichwa inabidi this time "wazichange" kisawasawa. Naiangalia kiuchumi, wawekezaji, jamii ya waasia na taswira inayoenda kukamilishwa vichwani mwa Watanzania. Rais wetu JPM nakuombea Mungu aseme na wewe ili uchukue hatua sahihi na kuokoa taswira ya Taifa letu na kama lengo ni kukuchafua "wachafue" . Tumuombee MO awe salama.
 
Naonaga mo anajiachia ina maana hatembeagi na walinzi anatembea kama sisi kapuku
Mfanyabiashara wa huko Tarime mara yule ndugu Zacharia yeye hakuwa na walinzi walimvamia akiwa peke yake lakini aliwatwanga Risasi za kutosha mpaka leo wapo hospt huko South Africa hawana dalili za kupona leo wala kesho ni vyema wafanyabiashara wakubwa waishi kimachale wawe fiti ikibidi wawe wanakula mazoezi ya kupambana na wasiojulikana.
 
Inasikitisha mno na kushtua namna matukio haya yanavyozidi kukita mizizi hapa nchini.

Tuombe M/Mungu ajalie apatikane akiwa salama..Insha'Allah
 
Mfanyabiashara wa huko Tarime mara yule ndugu Zacharia yeye hakuwa na walinzi walimvamia akiwa peke yake lakini aliwatwanga Risasi za kutosha mpaka leo wapo hospt huko South Africa hawana dalili za kupona leo wala kesho ni vyema wafanyabiashara wakubwa waishi kimachale wawe fiti ikibidi wawe wanakula mazoezi ya kupambana na wasiojulikana.
Kabisaa tena mo alitakiwa atembee na bomu kabisa anawarushia
 
Back
Top Bottom