macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mtanzania husahau haraka sana. Wala huhitaji kuweka tukio lolote. Wacheni kukariri. Na hata asiposahau hana uwezo wa kufanya chochote.Nchi ya matukio ya kuwasahaulisha watanzania juu ya matumizi mabaya ya pesa zao wanazolipa kodi kutumika vibaya kuwanunua wapinzani kurudia chaguzi kwa gharama kubwa huku huduma za kijamii zikizidi kudorola, wanatengeneza Matukio ili watanzania wasahau vingi vioja wanavyofanyiwa na CCM kwa sasa.