Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Tukisema wanakuja wanadai si wazalendo haya wazalendo ktk ubora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu alisema hakuna alie salamaUkiwa na hela shida, ukiwa masikini shida... Sasa sijui hata mtu uweje.. Ukiunga mkono juhudi shida , usipounga mkono juhudi shida pia.. Daaah
Nadhani ni watu wanaotaka ransom au wanaenda kumshinikiza awatolee pesa sehemu kama bank kwa internet n.k.Nani anamtafuta, the guy is a very busy man!!
Then mtu anawaita wawekezaji waje usalama ni 100% kweli....Kama MO anatekwa mi si ndo watanifyekelea mbali kabisa
Wafanyabiashara wakubwa wote waanze kuishi kininja na wakiona wasiojulikana ni kuwapiga Risasi hakuna kusubiri wamtekeNjia rahisi ya ku win ni kuwahi kumuona adui!! Pia Ndio maana hata yule mzee kule tarime aliwin the situation. Firefirefire them.
Watekaji inasemekana walikuwa na silaha kali hata kama alikuwa na body guard asingeweza kuzuia. Hii kulingana na matangazo ya redio yanayotangazwa na Charles Kiswanta wa Zenj.Hatembeagi na bodyguard?
Wabunge hawahami toka upinzani bali wanahamishwa na madalali wa siasa huko CCM ni Mladi wa wajanja wachache huko CCMHabari za watu kutekwa na wabunge na madiwani kuachia nafasi zao kuhama vyama siyo habari tena za kuzipa uzito hapa nchini