Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Kuna maombi Mungu huyapokea kwa shingo upande
Mkuu, maombi ya namna hii naamini kabisa Mwenyezi Mungu hana hata muda nayo..

Mkuu MTAZAMO usipende kupindisha pindisha mambo, (situmii maneno makali, maana mtu mwingine angeweza kukwambia "acha unafiki"), mambo yote ya watu kutekwa, kuteswa na kupotezwa yameanza mara tu baada ya huyo unaemuombea kwa Mungu aingie madarakani..

Kusema ukweli napo kuna baraka zake kwa Mwenyezi Mungu.
 
Ila inauma sana nchi hii ilipo fika sasa mtu kama mimi wakiniteka si itakuwa basi na huku tuliko mabode kuinama itakuwa kilio kwa wazazi na hatimae watanisahau tu tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana haya matukio hatukuyazoee kabisa na ni kwa nini awamu hii yamekuwa mengi Dana
Enzi za jakaya yalikuwepo ila sio kwa kasi ya 4g ya sasa
 
Hivi huu uthenge wa kina bashyte bado unaendelea?
 
Back
Top Bottom