Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mimi mwanzo kabisa nilihisi amezinguana Na wafanyabiashara wenzie huko duniani Sasa wanalipa kisasi. Kuna MTU kaandika kitu cha tofauti nacho kinamake sensehahaha, hiyo ni moja ya hofu yangu, ya pili huenda ni hujuma ya wafanyabishara
Sasa mkuu kwanini usishughulike na hawa watu by the LAW aisee?
Halafu usifanye kazi kwa kumuonea mtu,wata-react halafu watakusumbua sana utawalani....
Prz hawezi ita mtu eti akaacha kuja tu,hicho kitu hakipo....mnahisi vibaya tu....
Sema jamaa hapendi wafanyabiashara anawafanyia persecution...
Kabisa mkuu...mtuu anauliza eti kwanini asiwe na gym home?[emoji15] [emoji15] ...like serious!Watu wazito na ulinzi mkubwa, presidential details, FBI, CIA, Navy Seals, Marine na ulinzi wote kuliko hata wa malaika wanauawa sembuse Mo.
Watu wasiojua mambo ndio maneno yao hayo.
Yah njia zote zimefungwa barabara, aiport, bandari hakuna kutoka mpaka apatikaneAccording to Mr. Mambosasa, three people have been arrested in connection to the incident. The police said all entry points around airports and other exit points have been closed.
Nilidhani kuimarisha ulinzi ingetosha!
Kwahiyo taratibu za kusafiri Leo kutoka Dar ni hamna au?
Can't understand this!
Eneo ambalo sio rahisi MTU mwingine kujua existence yake zaidi ya wahusika..Mzigua safe house ndio nn
Mimi nabeba taarifa za kutoka kwenye tukio mkuu kwamba waliomteka Mo ni watu wanaojulikana ni wazungu ngoja kwanza tushikilie hilo kwanza for the mean time tutapata ukweli wote baadaeNa wewe unaamini ni wazungu boss?
Mm ningeita The return of un catchable kidnappers.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hee kwaiyo hakuna ndege inatua wala kuondoka nchini Leo kisa Mo?Hakuna kusafiri leo[emoji15] [emoji15] ...what the heck?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ametoa taharifa kabla ya tukioCCM wana kikao mda huu wanamlaumu le mutuz kwa kuwatengenezea Sinema ya kishamba ambayo imefeli vibaya.
Hata Mimi mwanzo kabisa nilihisi amezinguana Na wafanyabiashara wenzie huko duniani Sasa wanalipa kisasi. Kuna MTU kaandika kitu cha tofauti nacho kinamake sense
Walio mla ni wa nyumbani kwake jiongeze kidogo kijana mdogo walahiWaliomteka Mohamed Dewj ndani ya masaa machache tu, wametiwa mbaroni.
Je, wa tundu lissu kwanini wameshindikana kupatikana???? Au kwakua Tundu Lissu sio tajiri [emoji18]
Mkuu unataka nisubirie mpaka nitekwe?Utaweza kumlipa wewe,kama tu yule a boy from tandale alishindwa kumlipa uje wewe kuweza
Kutoka nje ya Tanzania au hata kwenda mikoani ?Hakuna kusafiri leo[emoji15] [emoji15] ...what the heck?