Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Nimesikiliza clip ya Makonda, amenukuliwa vibaya. Mo hajapatikana jamani sikilizeni hiyo clip tena.

Makonda amesema jeshi la polisi lipo kuhakikisha jiji la Dar lipo salama, na kuwa watu wote tunahitaji majibu sahihi, na majibu sahihi ni kuwa MO amepatikana,,,, hivyo jeshi la polisi lipo kutafuta hayo majibu sahihi na kuyaleta.
 
ukiwachukia wafanyabiashara huwezi kutawala kwa amani, huo mtandao una nguvu sana kiasi cha kuhujumu uchumi wa nchi wakiamua kuungana
 
Serikali iliyoshamili uongozi wa Vitisho, utekaji, utesaji na uuwaji wa Wananch wake wasiyo na hatia zaidi ya utoaji maoni kinzani. Utekaji na uuwaji wa Matajiri, nako kunatokana na wao kugoma kutoa/kuchangia Pesa yao kwenye Serikali hii dharimu isiyo na nidhamu na kodi ya Wananchi!
 
Yah njia zote zimefungwa barabara, aiport, bandari hakuna kutoka mpaka apatikane
 
Na wewe unaamini ni wazungu boss?
Mimi nabeba taarifa za kutoka kwenye tukio mkuu kwamba waliomteka Mo ni watu wanaojulikana ni wazungu ngoja kwanza tushikilie hilo kwanza for the mean time tutapata ukweli wote baadae
 
CCM wana kikao mda huu wanamlaumu le mutuz kwa kuwatengenezea Sinema ya kishamba ambayo imefeli vibaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ametoa taharifa kabla ya tukio
 
nimeisoma hiyo post, ikiwa ni kweli kazi tunayo
Hata Mimi mwanzo kabisa nilihisi amezinguana Na wafanyabiashara wenzie huko duniani Sasa wanalipa kisasi. Kuna MTU kaandika kitu cha tofauti nacho kinamake sense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…