Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Ukute wameshamficha kwenye safe house mtatafuta mpaka muimbe Hallelujah...
Ni rahisi kuwajua strangers especially habari hii ipo spread all over the country so am sure watu wakiona tu watastuka subiri uone mZigua
 
Kwa nini tusiamini maelezo ya polisi na tuamini maelezo ya dereva wa Uba?

Polisi wana resources kuweza kufuatilia timeline ya matukio kwa kuweza kuhoji watu wengi zaidi juu ya tukio. Dereva wa Uba kaona na kusimulia aliyoona. Hakuona yote na isitoshe muda mwingi alikuwa kajiinamia kwa hofu.
 
Ni rahisi kuwajua strangers especially habari hii ipo spread all over the country so am sure watu wakiona tu watastuka subiri uone mZigua
Ngoja tuone mkuu.. Hivi kwanini sehemu Kama Masaki hamna security cameras?? Au Dar Kwa ujumla?
 
Dah tunaletewa movie nyingine
.sijui itakuwa na part 2?
.sijui itachezwa kwa ustadi au itafanana na zile nyingine?
.sijui inataka kumpa kiki nani ?

Wakati utasema...stay tuned....!!!!
Duuh mzee mganga ulikua wapi kitambo sana nnaona umeibuka na ramli mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…