[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanatafuta kiki nani awe wa kwanza kutoa taarifa, msaidiz wa RPC anasema kapatikana, RC anasema hajapatikana, yupi wa kumwamini askari au zero brain..!?
Mnyonge ni mtaji wa matajiri na wanasiasa uchwara, lakini kusema nchi hii kuwa mnyonge ana sauti ni danganya totoEti viwanja vya ndege vimefungwa!
Kwa sababu Mo katekwa.
Halafu unasema ni nchi ya wanyonge.
Looh!! Bila shaka ni yule MP....kama ni yeye basi kweli kiki imebuma/amepotezwa Vibaya mno!!!Kuna mvulana mwingine kajiuzulu ukerewe
Nilishasema huyu si mtaalamu wa haya mambo akasolve issue ya UDART kule, taarifa watakuja kumpa wataalamu wa itelejensia kwa kadiri inavyopatikanaTunaomba Mh. Makonda akae pembeni kidogo aache polisi wafanye kazi yao!
Imeniuma sana...huwa ananiinspire sana jamaa!Dahhh ila kitajulikana tuu tumuombee asipewe sumu au kuuliwa
Bilionea unashindwa hata kuweka gym nyumbani kwako unaanza kukurupuka saa 11 kwenda kunukishana majasho na wenzio?!
Huwezi kuwa na mapesa yako mengi namna hiyo halafu ukose hata mlinzi mmoja mwenye silaha...Watanzania tuache kuishi kwa mazoea jamani
HahahahaMiss Natafuta, kwamba tiGo yako haipo salama?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kufunga maana yake si kuzidisha ukaguzi Na kuongeza ulinzi? Haimaanishi isiingie Ndege wala kutoka Ndege..Kwa hiyo Mo Dewji kiuchumi ni muhimu kuliko airport yetu moja ya kuingia na kutoka nchini?
Na siku Mo akistaafu uchumi wa nchi utayumba?
Jeff Bezos unamjua?
Marekani hawawezi kufunga JFK airport kwa sababu eti Jeff Bezos katekwa.
Bado hajapatikana mkuuK a p a t i k a n a ?
Halafu pia Tanzania bado kiusalama tupo chini hata kwenye airport zetu..Marekani hawawezi ila bongo hilo naona sawa tuKufunga maana yake si kuzidisha ukaguzi Na kuongeza ulinzi? Haimaanishi isiingie Ndege wala kutoka Ndege..
Huyo mfanyabiashara mm alinkera Sana, watu huwajui na unajua kabsa sio watu wema eti unaishia kuwajerui tuu kwa nn asingepga risas za kichwa au machoni kama watapona wawe vipofu? Mungu asaidie waokoke huko huko na waje washuudie uovu wao kweny majukwaa ns wasime nan akiwatumaMfanyabiashara wa huko Tarime mara yule ndugu Zacharia yeye hakuwa na walinzi walimvamia akiwa peke yake lakini aliwatwanga Risasi za kutosha mpaka leo wapo hospt huko South Africa hawana dalili za kupona leo wala kesho ni vyema wafanyabiashara wakubwa waishi kimachale wawe fiti ikibidi wawe wanakula mazoezi ya kupambana na wasiojulikana.
Usiongee sanaa...Kwa hiyo Mo Dewji kiuchumi ni muhimu kuliko airport yetu moja ya kuingia na kutoka nchini?
Na siku Mo akistaafu uchumi wa nchi utayumba?
Jeff Bezos unamjua?
Marekani hawawezi kufunga JFK airport kwa sababu eti Jeff Bezos katekwa.