witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Haaahaaahiyo tunaita akili kijiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaahaaahiyo tunaita akili kijiko
aroo ona ulivyo mrefu na kitambi wewe mzungu,kwanini usiendelee kutuibia madini kama mlivyozoea? arooo wewe mzungu #KIKI_KWA_PIKIPIKIWamkabidhi hiyo kazi kamanda Moroto ili awalete wahusika kwenye media " aroo kwa nini umemteka Mo-Dewji, wewe mzungu kwa nini umetoka ulaya kuja kuteka watu"
Wew umejuaje km waliomtek ni serikal had useme wamfungulie mashtaka?watanzania badiliken huyo mo ni mfanyabiashar mkubwa ana maadui wengine pengine ni wenzie hao
Kuna mvulana mwingine kajiuzulu ukereweMbona sielewi...kiki? Hebu nifafanulie basi na wee
HahahahahaExact my sentiments!
Ila mkuu Jiwe sidhani kama ana akili sana,anaweza fanya chochote very very dumb!
Sasa mbona kizunguzungu.Aisee bongo hatari..Mara amepatikana,mara bado..which is which??
Write your reply... Hivi Lemutuz ni nani namsikia tu ana deal na nini hasa mpaka ana umaarufu huu
Kabisa mkuuWalizi wa kiTz kazi yao ni kusaidia watu wasimsumbue boss wao, hawawezi kupambana na watekaji[emoji3]
Kabisa....sasa mtu ametekwa kwanzia saa kumi na moja kufunga njia sasa hiv ni kujisumbua tu
Walijua wote wanaohusika na usalama wa watu na mali zao wanapamabana katika chaguzi ndogo, kuunga mkono rais na kupambana na viongozi wa vyama vya upinzani.Duh!Watu wasioujulikana hao bila shaka!
Hii nchi sasa!!
Walitekwa na kupotea watu wa kawaida, tukaona ni mambo madogo.Leo wanatekwa matajjri na watu maarufu labda sasa ndio tutashituka.
Nakumbuka pia yaliompata Lissu na mfanyabiashara wa Tarime bwana Zakaria.
Wacha tusubiri tuone nini kinaendelea tutapata picha kamili.
Kwa sasa wanaweza kuwa wanapima upepo.Pressure ikiwa kubwa,wanaweza kumwachia ikiwa mpaka sasa bado yuko salama.
Hii update kuwa katekwa na wazungu,inanipa maswali mengi sana na mojawapo ni wazungu gani hao wa kumteka mtu tajiri kama huyo tena wakiwa katika nchi ya watu?
Wanajiamini nini?
Hio ilikua lazima si kila mtu anataka aonekane anawajibika effectively, wakati maswala/matukio kama haya yanaitaji utulivu, umakini ,uchunguzi wa hali ya juu. Sasa hawa ndugu zetu wamezoea matamko hewa kila siku.Wameanza kujichanganya tayari, si mmewasikia huko?
Ngoja niendeYule Dada Wa Insta anayejiita wa Taifa ashaanza kumtupia zigo Bashite.....Masikini Daudi!!!!!
Hata maadui anao...wafanyabiashara huwa na mambo mengi sana
Huku kujichanganya si kwa hivi hivi!Wameanza kujichanganya tayari, si mmewasikia huko?
Mo anachangia pato letu LA taifa pakubwa Sana mkuu. Lazima wahakikishe anapatikana Kwa hali yoyote ile
Nasikia Bashite amekanusha kama Mo amepatikana tena.. Na amewatishia wote wanaoeneza uvumi huo kwamba Mo amepatikana watakiona cha moto..! Mie nimemsikiliza kwenye clip ya video akisema Mo amepatikana na watekaji wamekamatwa.. Sasa hii anayokuja kukanusha na kutishia ni nini..? Kwa nini asijianze na yeye kwanza..? Ndo maana hili tukio toka nilipolisikia, nilipata shaka, kuna kitu hakikuwa sawa, ndo nazidi kuamini kuna kubwa nyuma ya pazia..
Kwa Jinsi Mwenyekiti Alivyo Dully Sykes aka Mr Misifa kwenye habari zinazotrend lazima atatoa deadline ya kupatikana kwa Mo "MO ATAPATIKANA KABLA YA SWALA YA IJUMAA KESHO" #KIKI_KWA_PIKIPIKI.Nimesikia Mwenyekiti ameongelea hili tukio, vp hajatoa deadline?