Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Yaani whitemen wanaingia na bunduki na kufanya utekaji hii imekuwa Kenya?
 
BBC NEWS
The man said to be Africa's youngest billionaire has been kidnapped by masked gunmen in Tanzania's main city Dar es Salaam, police say.
Mohammed Dewji, 43, was abducted outside a swanky hotel gym where he was going for his routine morning workout.

Three people have been arrested in connection with the incident and two of the abductors were believed to be foreign nationals, police added.

The motive for Mr Dewji's abduction is still unclear.

VIDEO: ITV BREAKING NEWS

Related Video on Youtube: mo dewji - YouTube
 
Something is not right here! Something fishy!
-Kulikuwa na purukushani yoyote?
-Kitu muhimu kwenye utekaji ni kuavoid attention, Kwa nini walipiga risasi juu?
- Collosium Gym hawana walinzi?
Walinzi walitoka nduki..
 
Bado walikuwa wana option nyingi tu salama. Hapa wana risk vitu vingi including biashara ya colesium ambao hawahusiki.

ila biashara ya makampuni ya ulinzi.. its there time.. msiba wa mtu, sherehe kwa mwingine!
 
BBC NEWS
The man said to be Africa's youngest billionaire has been kidnapped by masked gunmen in Tanzania's main city Dar es Salaam, police say.
Mohammed Dewji, 43, was abducted outside a swanky hotel gym where he was going for his routine morning workout.

Three people have been arrested in connection with the incident and two of the abductors were believed to be foreign nationals, police added.

The motive for Mr Dewji's abduction is still unclear.

VIDEO: ITV BREAKING NEWS

Related Video on Youtube: mo dewji - YouTube
Tushafika duniani.
 
Nimejaribu kufuatilia taarifa mbali mbali za kutekwa kwa Mo Dewji na kumekua na matamko yanayotia wasiwasi sana, moja ya kauli zinazo changanya ni kauli ya Makonda kuwa Mo Dewji kapatikana na wahalifu wametiwa mbaroni at same time anasema hiyo kauli imechukuliwa kwa mtizamo tofauti na kuwa si kweli kuwa Mo kapatikana!! Na hili la kuhusisha raia wa kigeni kwenye utekaji linatia mashaka sn why raia wa kigeni??
Tokea matukio ya utekaji yaanze mara nyingi wanaotekwa huwa hawapatikani kirahis tena !!
 
Jamani Mo kashikilia uchumi wa taifa hili, Airport zote nchini, bandari zote, mipaka yote na border crossing zote wamwagwe JWTZ, asiingie wala kutoka hata sisimizi bila kukaguliwa!
 
Waziri mwenye dhamana
Lema.jpeg
 
Hii ni hatari kama foreigners wanateka
Sijui ni wale walikuwa wanavaa Ushanka?
 
Back
Top Bottom