Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Lengo kuichafua Tanzania, FBI, INTERPOL WA US jingalao wa consider hao bila kumsahau makonda wenu @malcomlumumba
 
Nashauri magari yote ya mizigo, binafsi na abiria yapekuliwe - mashua, mitumbwi, meli, ndege vyote vichunguzwe - nyumba kwa nyumba, road blocks nk bila shaka watekaji watakosa njia na mwisho wa siku anaweza kupatikana

ata uki deploy watumishi wote wa vyombo vya ulinzi hawatoshi kufanya hiyo kazi.. at once. acha wafanye kazi yao kwa mbinu wanazozijua wao!
 
Karate haina ujanja kwenye bunduki
Weeee mtu akiwa amefanya gun point na upo nae close mbona unampa za uso na unamnyang'anya kabisa silaha,jeshin wanapewa mbinu za kupambana na mtu mwemye silaha ya moto, vivyo hivyo kareti unafundishwa kumkabili mtu mwenye silaha...
 
Tunajadili usalama wa raia kwa ujumla nchini ukoje?? Hata ukiwa na gym yako je hutatoka nje kwa mahitaji mengine???
 
Familia itangaze tu dau ***** kama siendi kwa bibi tanga leo hii hii,na jioni nimamrudisha kwake huku watekaji wakiwa wameshika mgomba kuja kustuka mo hayupo
Kama una pesa zako sasa hivi ulinzi ni kijadi zaidi dadadeki. Anakuja kukuteka unageuka chatu hakawii kumwaga haja zote kwa mpigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…