Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Alianza drs la kwanza akiwa na miaka 5 It is possible!Mtu azaliwe 1975, shule ya msingi amalize 1986, yaani alimaliza elimu ya msingi akiwa na miaka 11? Hiyo sio elimu ya Tanzania na haiwezi kuwa elimu ya msingi ya miaka 7.
Vv