Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Hao watekaji mhhhh umejuaje wametumwa na walishajiandaa had kuharibu mfumo wa CCTV. Mtu mdogo wahivi hivi hawezi kumteka Mo kuna mkono mkubwa hapo
Absolutely YES[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Labda awe mtekaji mmoja lkn kuanzia wawili na wana miguu ya kuku...huchomoki
Nachomoka banah naangalia uzembe wao upo wapi huwa nao wanapoteza focus maana wanakua wanahofu kubwa kwa tukio wanalolifanya sasa uzembe wao mimi kwangu ni fursa
 
Alianza drs la kwanza akiwa na miaka 5 It is possible!
Yes, mwanangu alianza daraza la saba na miaka 5 na miezi michache sana. Alimaliza darasa la Saba na miaka 12 kasoro. Form One aliingia na miaka 12, miaka 13 form two na three kidogo, miaka 13 form tree na form four kidogo, akamaliza na miaka 14. Form five miaka 14 na 15 ikamkutia hapo, akamaliza form Six na miaka 16 kasoro. Inategemea na jinsi ulivyomwahisha mtoto shule na jinsi Mungu alivyomjalia mtoto. Kwa misingi hii mwanangu huyu alinza kupenda kuandika akiwa mdogo mno alipoona wenzake wanaenda na kutoka shule wakiwa wanafanya home work naye anakaa mezani anaanza kuandika yake, mwishowe akawa anachukua kitabu anaigiliza moja nyingi sana, number 4, 6 na 9. Nikaona bora awahi tu huko day care. Kule akafanye vizuri na pre unit alisoma kidogo sana shule yake wakanishauri aanze darasa la kwanza na ni mvulana. Nilipinga sana ila mwalimu alisema akiendelea kusoma pre unit ataone kila kitu ni rahisi na haikuwa sababu na ataona kama ni marudio yaani kwa kifupi angekinai. Kweli nikakubali akaanza darasa la kwanza kishingo upande. Sijutii kwa kuwa aliendelea kufanya vizuri na yuko mbali mno kiuwezo kitaaluma kuliko hata ndugu zake nilioanzisha wakiwa na miaka 6 na 7 kasoro.
 
Leo tutapaza sauti ndani na nje ya nchi mpaka baada ya masaa 24 tutampata MO
Kweli kabisa sauti zetu tunazipaza mno, hili la Mo lina kitu kizito. Sasa hivi wafanyabiashara watakimbia wote maana ni hatari
 
Ila kama nimeona ka video kanasambaa mtu alisema MoO kapatikana halafu tena anakana
 
Mbona matukio kama haya hufanyika siku ya alhamisi,hata tukio LA lissu ilikuwa alhamisi.
 
Ma director wa movies wana akili na ni wazoefu kwenye hiyo taaluma. Kama sio fani yako lazima ukosee tu, hizi movie zote inaonekana director ni yule yule, zote mapungufu yanafanana.

Mshana Jr
 
IMG_0561.JPG

Hii alioandika flaviana matata
 
Back
Top Bottom