Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Hivi hujui nao wanakua wamepaniki presha nk ..kila mtu anakua na tension mtekaji na mtekwaji[emoji13] [emoji13]
But at least wao wanajua kitamboo kuwa wanakuja kukuteka, umeshaliwa radar siku nyingi halafu wewe hujui sasa...mbaya sana hufanyi chochote
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji1562][emoji1562][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Mkuu mambo mengine kausha, utakamatwa kwa sheria ya takwimu utaambiwa idadi ya magari uliyotaja sio sahihi sasa sijui umetaja mengi au machache
 
Labda ndio vile vita vya kiuchumi tulivyokuwa tunaambiwa.

Kama ni mzungu basi ni ama mkaburu, cia au mossad ndio wanakaujasiri fulani kakuthubutu.

Anyway its my opinions
 
Mbali na athari za tishio la uhai la MO lakini issue ya usalama wa wawekezaji tuseme ukweli imetiwa dowa sana kama MO ambae ni mtanzania anatekwa na hao wawekezaji wa mataifa mengine hapa nchini usalama wao ni mdogo sana.huku ni kuhujumu uchumi wa nchi kwa namna nyingine.
Acha ubaguzi, lisu, saanane, roma
 
Uwoga tu ila kama amekaa kizembe unauwezo ukawajeuza wao kuwa mateka....mzee baba yani anajikunja vizuri unampa teke moja chalii unainua gun unapambana na mwenye gun
Ahaah we jamaa ... Ahahaha

Sio rahs kihivyo provided una bullet proof ... Thats impossible

Ni mafunzo ya kwanza tuliyopewa farm.... Nikakimbiaa ... Mmh sio poa ...

Wakanrudsha ... Nkakimbia tena ...

Mmh labda ntarud tena ...
 
Ila kama nimeona ka video kanasambaa mtu alisema MoO kapatikana halafu tena anakana
Watanzania hatuko makini kwenye vitu vingi sana. Nashangaa mpaka waandishi wa habari walifikia conclusion kama yako! Mimi nimeisikiliza mara moja na inaonyesha kabisa HAKUSEMA amepatikana.
 
Nimekuja kupaza sauti maana wasiojulikana walienda likizo sasa wamerudi maana haya matukio yanatuondolea hata RAIA wa kawaida Amani hofu inatanda. Mi namuombea Mo kweli kutekwa kunatisha mno
MO kapewa kikombe cha kahawa sahivi na watekaji ameambiwa relax....
 
Ninasikitika Mwekezaji Mkubwa nchi hii ametekwa. Ni tikisiko kwa uchumi na jamii kwa ujumba wale ambao wameajiriwa katika makampuni yake. Ninaamini familia iko imara katika kuhakikisha hakuna kitakachoenda vibaya katika makampuni kwa kuwa MD hayupo. Huu ndiyo uzuri wa wenzetu wenye ngozi nyeupe kwa kuwa succession plan iko vizuri. Cha kusikitisha ni kwamba huyu ni tajiri mkubwa sana nchini na alitakiwa awe na ulinzi binafsi kabisa kama ule wa viongozi wetu. Yaani MO anashindwa na celebrities kama Chibu wenye mabauza na walinzi wa nguvu. Yeye MO alitakiwa kabisa awe na gari la walinzi wakati wote mchana awapo kazini na usiku pia na nyumbani ndiyo usiseme. Pia gari yake nayo inatakiwa iwe na vifaa vya usalama n.k. Hapa kuna uzembe mkubwa na pengine alijiamini sana kitu ambacho kwa dunia ya sasa si rafiki tena kwa kuwa wenye wivu wapo, washindani wapo kwa upande wa biashara, na wenye roho mbaya tu wapo.

Mungu epusha mabaya yote kwa Mwekezaji huyu hodari Tanzania.
 
Yes, mwanangu alianza daraza la saba na miaka 5 na miezi michache sana. Alimaliza darasa la Saba na miaka 12 kasoro. Form One aliingia na miaka 12, miaka 13 form two na three kidogo, miaka 13 form tree na form four kidogo, akamaliza na miaka 14. Form five miaka 14 na 15 ikamkutia hapo, akamaliza form Six na miaka 16 kasoro. Inategemea na jinsi ulivyomwahisha mtoto shule na jinsi Mungu alivyomjalia mtoto. Kwa misingi hii mwanangu huyu alinza kupenda kuandika akiwa mdogo mno alipoona wenzake wanaenda na kutoka shule wakiwa wanafanya home work naye anakaa mezani anaanza kuandika yake, mwishowe akawa anachukua kitabu anaigiliza moja nyingi sana, number 4, 6 na 9. Nikaona bora awahi tu huko day care. Kule akafanye vizuri na pre unit alisoma kidogo sana shule yake wakanishauri aanze darasa la kwanza na ni mvulana. Nilipinga sana ila mwalimu alisema akiendelea kusoma pre unit ataone kila kitu ni rahisi na haikuwa sababu na ataona kama ni marudio yaani kwa kifupi angekinai. Kweli nikakubali akaanza darasa la kwanza kishingo upande. Sijutii kwa kuwa aliendelea kufanya vizuri na yuko mbali mno kiuwezo kitaaluma kuliko hata ndugu zake nilioanzisha wakiwa na miaka 6 na 7 kasoro.
Nashukuru baba
 
Wamuulize yule yule amaaaliyema Roma atapatikana siku gani awaambie huyu atapatikana lini
 
Back
Top Bottom