Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Ninasikitika Mwekezaji Mkubwa nchi hii ametekwa. Ni tikisiko kwa uchumi na jamii kwa ujumba wale ambao wameajiriwa katika makampuni yake. Ninaamini familia iko imara katika kuhakikisha hakuna kitakachoenda vibaya katika makampuni kwa kuwa MD hayupo. Huu ndiyo uzuri wa wenzetu wenye ngozi nyeupe kwa kuwa succession plan iko vizuri. Cha kusikitisha ni kwamba huyu ni tajiri mkubwa sana nchini na alitakiwa awe na ulinzi binafsi kabisa kama ule wa viongozi wetu. Yaani MO anashindwa na celebrities kama Chibu wenye mabauza na walinzi wa nguvu. Yeye MO alitakiwa kabisa awe na gari la walinzi wakati wote mchana awapo kazini na usiku pia na nyumbani ndiyo usiseme. Pia gari yake nayo inatakiwa iwe na vifaa vya usalama n.k. Hapa kuna uzembe mkubwa na pengine alijiamini sana kitu ambacho kwa dunia ya sasa si rafiki tena kwa kuwa wenye wivu wapo, washindani wapo kwa upande wa biashara, na wenye roho mbaya tu wapo.

Mungu epusha mabaya yote kwa Mwekezaji huyu hodari Tanzania.
 
Watanzania hatuko makini kwenye vitu vingi sana. Nashangaa mpaka waandishi wa habari walifikia conclusion kama yako! Mimi nimeisikiliza mara moja na inaonyesha kabisa HAKUSEMA amepatikana.
Exactly mkuu...hajatamka kitu kama hicho mdomoni kwake!
 
Sijui hawa watekaji wamejiamini kumteka mtu maarufu kama yule tenda kwenye jiji lenye ulinzi mkali kama Dar.

Jamani tule hata nyasi ili nunue CCTV camera mji mzima mpaka kule Majohe na Msongola kwenye barabara za mavumbi.

Mkuu hapo kwenye ulinzi mkali una maanisha hili hili jiji letu ambalo ukizungushiwa manzese ushasahaulika.

Kwa miundombinu yetu sidhani kama Dar ina qualify kuwa ya ulinzi mkali
 
Ngoja niisikilize tena nitarudi kwako
Watanzania hatuko makini kwenye vitu vingi sana. Nashangaa mpaka waandishi wa habari walifikia conclusion kama yako! Mimi nimeisikiliza mara moja na inaonyesha kabisa HAKUSEMA amepatikana.
 
Post zinazoandikwa kuhusu kutekwa kwa Dewji zinamnukuu Mambosasa akisema msako mkali utafanywa kwa raia wote wakigeni nchini! Binafsi sijaielewa maana yake pia kama anao uwezo huo hata robo tu! Tuna raia wakigeni toka nchi zote zinazoizunguka Tanzania, pia wamo wanaotoka nchi za mbali sasa yeye ambaye ni kamanda wa Dar es Salaam anamamlaka gani ya kuamuru kikosi chake kutimiza hiyo amri yake nchi nzima?
 
Wapuuze. Wengi ya wachangiaji ni watu ambao hata kushika bunduki hawajawahi. Wakiwa kwenye hali kama hiyo wataishia kuachia haja ndogo mbele na nyuma.
Ni kweli kabisa kushtukizwa jambo akili hustaki flani aisee maana hukutegemea wala kujiandaa. Sasa Mo ukute walishamfatilia mda mrefu na walimulia timing hapo asingeweza kujitetea.
 
Hakusema kapatikana...amesema yy kama kiongozi mwenye dhamana ya kuongoza hili jiji atahakikisha Mo anapatikana na waliomteka wanafikishwa mahakamani!...

Hebu ngoja nilete hicho kipande
Zipo clip mbili ... Hivi unaelewa

Hiyo unayosemea wewe ... Na nyingine ...

Hujaiona hafu unabisha ... Looh ... Aah unanchefua mamiii
 
Mo akipatikana anatakiwa ashukuru sana chombo hichi, socila media hii JAMII FORUM wadau humu tumepaza sauti zetu tangu asubuhi na tunaendelea tu hatuchoki
 
Mtu azaliwe 1975, shule ya msingi amalize 1986, yaani alimaliza elimu ya msingi akiwa na miaka 11? Hiyo sio elimu ya Tanzania na haiwezi kuwa elimu ya msingi ya miaka 7.

Vv
Hakuna jipya hapo ni kawaida sana.. Mimi nimeanza primary 1999 nimemaliza 2005.. Nikiwa na miaka 11 na miezi 9
 
Kuna watu katika idara za uongozi katika baadhi ya mwahala ambao wanafikiria kwamba inatosha kwa viongozi pekee yao kujua siasa za chama /nchi na kwamba hapana haja ya kuufanya umma wazijue. Hii ni moja wapo ya sababu za msingi kwa nini baadhi ya kazi zetu haziwezi kufanywa vyema. .....

In short nazungumzia uhuru wa kutoa, kupata na kusambaza taarifa......

Na mambo mengine lukuki.
 
Post zinazoandikwa kuhusu kutekwa kwa Dewji zinamnukuu Mambosasa akisema msako mkali utafanywa kwa raia wote wakigeni nchini! Binafsi sijaielewa maana yake pia kama anao uwezo huo hata robo tu! Tuna raia wakigeni toka nchi zote zinazoizunguka Tanzania, pia wamo wanaotoka nchi za mbali sasa yeye ambaye ni kamanda wa Dar es Salaam anamamlaka gani ya kuamuru kikosi chake kutimiza hiyo amri yake nchi nzima?
Ikiwezekana msako wa nyumba kwa nyumba ufanyike. Vyombo vyote vya usalama viingie kazini, wafuatilie kila kitu. Wao wanafahamu zaidi. Ukweli hapa tutayumba sana kwa kiasi chake kwa madhara makubwa kwa mfanyabiashara huyu.
 
Ahaah we jamaa ... Ahahaha

Sio rahs kihivyo provided una bullet proof ... Thats impossible

Ni mafunzo ya kwanza tuliyopewa farm.... Nikakimbiaa ... Mmh sio poa ...

Wakanrudsha ... Nkakimbia tena ...

Mmh labda ntarud tena ...
Haahaalhahaha imagination is a fiction game, nilikua nawaza mkuu lakini nikiwa mimi ndiyo victim huo ujanja unafyata
 
Back
Top Bottom