Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Hakusema kapatikana...amesema yy kama kiongozi mwenye dhamana ya kuongoza hili jiji atahakikisha Mo anapatikana na waliomteka wanafikishwa mahakamani!...

Hebu ngoja nilete hicho kipande
Mimi nilimskia kasema kapatikana na wahusika wamekamatwa kuna clip mbili au hyo clip ilieditiwa
 
mkuu ngoja kwa sasa tuendelee kuunga mkono juhudi za mkuu wa mkoa uku tukisubili feedback
 
Hao unaweza kuwapa simu na pochi yako wakaondoka sasa hawa ambao wanakuchukua ukiwa hujiui kipi kinafata baada ya kukuchukua. Ni hatari Mungu atuepushe pia amuepushe na kila baya aweze kuacahiwa akiwa salama
Hakuna silaha naiogipa kama silaha za jadi mapanga aiseeehhh kifo chake ni cha umbwa ,vibaka ni wa kuogopwa kuliko hawa koz hawa watekaji wanakuja na misaion moja kukubeka ukiwa mzima ukienda uko mkishandwana hapo ndiyo msala ...ila vibaka aiseeh
 
Madrama yameanza. Nahisi inatafutwa justification ya matukio ya nyuma kuwa walengwa wa watu wasiojulikana sio wanasiasa wa upinzani peke yao. Agenda setting...
 
Ni propaganda ambazo hazina maana kama atakua hana ushahidi wa kutosha ..maana hata albino akivaa maski ukitizama na kumtofautisha kwa rangi ya ngozi tu unaweza kuishia kusema ni wazungu, pia watekaji wanaweza wakavaa fake skin kuwapoteza maboya polisi na mashahidi

WELL SAID.
 
Wew umejuaje km waliomtek ni serikal had useme wamfungulie mashtaka?watanzania badiliken huyo mo ni mfanyabiashar mkubwa ana maadui wengine pengine ni wenzie hao
Chunga maandishi yako!!! Kwa mfanyabiashara zakaria wasiojulikana walijulikana kuwa ni maafisa wa .....( ukikua utaacha upuuzi) mchana mwema kwako
 
First they came for the socialists, and I did not speak out—
Because I was not a socialist.

Then they came for the trade unionists, and I did not speak out—
Because I was not a trade unionist.

Then they came for the Jews, and I did not speak out—
Because I was not a Jew.

Then they came for me—and there was no one left to speak for me.
 
First they came for the socialists, and I did not speak out—
Because I was not a socialist.

Then they came for the trade unionists, and I did not speak out—
Because I was not a trade unionist.

Then they came for the Jews, and I did not speak out—
Because I was not a Jew.

Then they came for me—and there was no one left to speak for me.
Amen
 
But twende mbele turudi nyuma ni kitu gani kinachotuaminisha kama kweli watekaji ni wazungu!?
Kuna majambazi yalikamatwa huko Tanga na style yao ya kuvamia yalikuwa yanajifanya ni kutoka kenya kwa rafudhi yanayotumia wakati wa kuvamia kumbe ni watanzania pure
Hii pia inaweza ikawa mbinu ya watekaji ili kumisslead oparation ya kumpata Mo
Ni mtazamo tu
 
Back
Top Bottom