ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Mom..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo keyword "wazungu" ....inasukumwa masikioni mwetu kwa nguvu......why?Hivi vipi kama hao Watu walivaa 'mask' ili kupoteza maboya...nyinyi mnadhani ni Wazungu.
Hiyo ni kazi ya mikono ya Magu, ndo style yake ya kuongozaDuh!Watu wasioujulikana hao bila shaka!
Hii nchi sasa!!
Walitekwa na kupotea watu wa kawaida, tukaona ni mambo madogo.Leo wanatekwa matajjri na watu maarufu labda sasa ndio tutashituka.
Nakumbuka pia yaliompata Lissu na mfanyabiashara wa Tarime bwana Zakaria.
Wacha tusubiri tuone nini kinaendelea tutapata picha kamili.
Kwa sasa wanaweza kuwa wanapima upepo.Pressure ikiwa kubwa,wanaweza kumwachia ikiwa mpaka sasa bado yuko salama.
Hii update kuwa katekwa na wazungu,inanipa maswali mengi sana na mojawapo ni wazungu gani hao wa kumteka mtu tajiri kama huyo tena wakiwa katika nchi ya watu?
Wanajiamini nini?
Kwani ni mara ngapi polisi hawa hawa wamekuwa wakipindisha ukweli wa mambo?Kwa nini tusiamini maelezo ya polisi na tuamini maelezo ya dereva wa Uba?
Polisi wana resources kuweza kufuatilia timeline ya matukio kwa kuweza kuhoji watu wengi zaidi juu ya tukio. Dereva wa Uba kaona na kusimulia aliyoona. Hakuona yote na isitoshe muda mwingi alikuwa kajiinamia kwa hofu.
Hata angekuwa na bomu kama yale ya Korea Ya Kaskazini ukishawahiwa ni sawa na umebeba kipande cha godoro. Ishu ni timing.Nami nashangaa anatembea bila wasiwasi kama kapuku mie
😂😂😂😂😂Watangaze dau zuri haitafika saa 12 atakuwa amepatikana
kama walivotuonyesha yule jambazi hendisammboi nahawa wasiojulikana pia watuonyesheKwa jinsi alivyopatikana fasta...
Naji-convince itakua ishu ilisukwa na Bash.ite kujenga kiki watu wasikomalie sana mwendokasi!
Hao suspects zijui kama watatuonesha....!
Sanaa mtindo mmoja!
Only in awamu ya 5 ndio utapata habari hizi na nyingine za kijinga kama kuvamia vituo vya TV!
Pole sana Mkuu walishakuzukia?Hakuna silaha naiogipa kama silaha za jadi mapanga aiseeehhh kifo chake ni cha umbwa ,vibaka ni wa kuogopwa kuliko hawa koz hawa watekaji wanakuja na misaion moja kukubeka ukiwa mzima ukienda uko mkishandwana hapo ndiyo msala ...ila vibaka aiseeh
Inabidi ukalisaidie jeshi la polisiDuh...yani ni juzi tu nimeota huyu jamaa katekwa
Sasa sijui wajuzi wa mambo hii ina maana gani?