Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Mpaka sasa hivi bado haijajulikana alipo? vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitaonekana ni dhaifu sana iwapo mpk saa karibu sita bado mtu hajapatikana

Tuombe tu giza lisiingie tukapata kauli kama ya mwanza. Bwana aendelee kumuweka hai huko alipo mtanzania mwenzetu
 
Zile tunazoona ktk movies za ki - Nigeria zinaweza anza kuwa practiced taratibu hapa....

Watu hali ngumu ya kifedha na kimaisha kwa ujumla, wanatafuta "shortcuts" za kujipatia fedha....

Wanawavizia wenye mkwanja watu sampuli ya hawa kina Dewji.....

Wanakuteka na kukuhifadhi sehemu....

Wanalazimisha mabadilishano ya uhai wako na ukwasi wenu.....

Most likely, hii ina sura ya namna hii.....

Hata hivyo wanaweza kufanikiwa kupata watakacho kama tu wamefunzwa mikakati ya kujipatia fedha kwa njia hiyo....

Vinginevyo, watanaswa tu na wasipate hata senti!!
 
una akili hata kidogo? kenya wangefanya nini au uganda katika situation kama hii.. eleza wewe unataka watanzania wafanye nini sasa? siyo mkishiba ugali na maharagwe mnaanza kujazana ujinga. wewe raia wa kawaida unafanya nini katika hili?

Tanzania sisi mazuzu ingekuwa kenya au uganda sasa hvi dunia na imesha hamia kenya au uganda, kimesha nukishwa,

Sema sis sijui nani katuloga
 
Mijitu ya matukio mmesha ingiza siasa, massive pathetic creatures walahi

kamanda kasema hivi " wataendesha msako kwa raia wote wa kigeni", sasa ndugu yangu kwa akili yako kidogo aliyokupa Mungu ukazaliwa nayo unatafsiri vipi hii kauli zaidi ya hivyo ilivyokuja? Walahi tena wakati mwingine tujadili pasipo ushabiki.
 
Back
Top Bottom