Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha uwoga ....unamvizia tu
Unamvizia wakati wewe ndo main target...yaan uliviziwa kitamboo

Na ule mshtuko wa ambush hutathubutu kurusha hata ngumi
 
Sijui hawa watekaji wamejiamini kumteka mtu maarufu kama yule tenda kwenye jiji lenye ulinzi mkali kama Dar.

Jamani tule hata nyasi ili nunue CCTV camera mji mzima mpaka kule Majohe na Msongola kwenye barabara za mavumbi.
Wamepanda boti kwa mujibu wa Le mutuz ambaye ni mratibu wa hiyo Sinema ambayo inalalamikiwa kwa kutengenezwa vibaya kutokana na kusheheni makosa kibao
 
Tattizo linalo kera ni pale mtu wa kawaida akitoweka huwa hakuna jitahada za makusudi kama hivi, media zimepamba moto vyombo vya ulinzi ndiyo usiseme a mtu walalahoi wakitoweka itaonekana demu wako ndiyo alikuteka na utakula vyuma sio mchezo
All human are equal but others are more equal. Akitkewa more si sawa na ukitekwa wewe na mimi. Hiyo sio ubaguzi bali ndio nature ilivyo.
 
Tattizo linalo kera ni pale mtu wa kawaida akitoweka huwa hakuna jitahada za makusudi kama hivi, media zimepamba moto vyombo vya ulinzi ndiyo usiseme a mtu walalahoi wakitoweka itaonekana demu wako ndiyo alikuteka na utakula vyuma sio mchezo
Maskini hana chake mkuu wangu loh. Dunia haina usawa
 
Sio mmoja..na lengo la watekaji sio kuua..ila ukiingilia mission unakula chuma...ata wenyewe martial arts wanazijua...at a ukiwa unajua ile michezo usiingilie yasiyokuhusu man..
Uwoga tu ila kama amekaa kizembe unauwezo ukawajeuza wao kuwa mateka....mzee baba yani anajikunja vizuri unampa teke moja chalii unainua gun unapambana na mwenye gun
 
Sijui hawa watekaji wamejiamini kumteka mtu maarufu kama yule tenda kwenye jiji lenye ulinzi mkali kama Dar.

Jamani tule hata nyasi ili nunue CCTV camera mji mzima mpaka kule Majohe na Msongola kwenye barabara za mavumbi.
Hao watekaji mhhhh umejuaje wametumwa na walishajiandaa had kuharibu mfumo wa CCTV. Mtu mdogo wahivi hivi hawezi kumteka Mo kuna mkono mkubwa hapo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeehh raia kapuku ukitekwa utakula vyuma mpaka uwakumbuke wana jf forum wenzako wa kapuku forum waje kukuokoa
Ha ha ha ha haaaaaaaaa, nacheka utadhai mazuri but real im scared, tuzid kumuomba Mungu atuepushe upepo huu mbaya ndani ya nchi yetu.
 
UPDATE 1:

Dereva wa Uber amesema aliona watu 4 wakishuka kwenye gari dogo, wakiwa wamejifunika usoni, wakapiga risasi moja juu na kumchukua Mohammed Dewji

UPDATE 2:

RPC Lazaro Mambosasa amesema waliomteka mfanyabiashara Mohamed Dewji (Mo) ni wazungu wawili. Aidha, amesema msako mkubwa unafanywa kwa raia wa kigeni wote waliopo nchini kufuatia kutekwa kwa Mo Dewj
Kujifunika uso maana yake ni watu wanao julikana, wanajifunika ili wawe watu wasio julikana,
 
Back
Top Bottom