Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Weeee mtu akiwa amefanya gun point na upo nae close mbona unampa za uso na unamnyang'anya kabisa silaha,jeshin wanapewa mbinu za kupambana na mtu mwemye silaha ya moto, vivyo hivyo kareti unafundishwa kumkabili mtu mwenye silaha...

Hakuwa mtu mmoja mzee
 
Mtu azaliwe 1975, shule ya msingi amalize 1986, yaani alimaliza elimu ya msingi akiwa na miaka 11? Hiyo sio elimu ya Tanzania na haiwezi kuwa elimu ya msingi ya miaka 7.

Vv
Kwahiyo mkuu miaka imekosewa?
 
Nimemsikiliza Makonda vizuri kwenye ile clip hakuna sehemu kasema kuwa Mo kapatikana..Waandishi wa habari na wenyewe wasipende kushindana kupost taarifa kwa uharaka tena taarifa kubwa kama hizi..
Mtetee tu,lakini technology iko very powerful,kuna niliyoisikia amesema "amepatikana na watuhumiwa wamekamatwa"

Labda kama ni vipande vilivyoungwa ungwa,lakini nimeiona kwa macho yangu!!
 
Mtu azaliwe 1975, shule ya msingi amalize 1986, yaani alimaliza elimu ya msingi akiwa na miaka 11? Hiyo sio elimu ya Tanzania na haiwezi kuwa elimu ya msingi ya miaka 7.

Vv
Naona umesoma kwa makini ili upate pa kupinga. any way mada ya leo ni kutekwa kwa Mo. Hayo mengine tafadhar achana nayo tu.
 
iga style ya Zacharia yule mfanyabiashara wa huko Tarime mkoani mara ambaye aliwapiga Risasi wasiojulikana mpaka leo wapo hospt wanaugua majeraha na maumivu.
Inamaana licha ya kupigwa na kupelekwa hospitali bado hawajajulikana?
 
Mmmmh Mungu tunusuru na haya majanga ndani ya nchi yetu pendwa Tanzania. Hii inaogopesha na kuonesha kuwa kila mtu anaweza akatoweka
 
Nimemsikiliza Makonda vizuri kwenye ile clip hakuna sehemu kasema kuwa Mo kapatikana..Waandishi wa habari na wenyewe wasipende kushindana kupost taarifa kwa uharaka tena taarifa kubwa kama hizi..
Ni kweli mkuu...hakuna mahali Makonda kasema Mo kapatikana!

Nimemsikiliza vizuri sana .....sinaga mizuka nae lkn kwa hili namtetea
 
Tattizo linalo kera moyo wangu ni pale mtu wa kawaida akitoweka huwa hakuna jitahada za makusudi kama hivi, ila kama ni maarufu basi utatafutwa na tochi...usipo kuwa maarufu utagongwa vyuma huko utawekwa miezi mpaka tutakusahau
The world is not level walahi
 
“Alinunua viwanda vya nguo na mafuta vilivyokuwa vinamilikiwa na Serikali kwa bei ndogo na kuvifanya viwe na faida zaidi kwa kutumia mtindo wa kisasa wa menejimenti,”

Hapo kwenye hizo quotes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…