Hata kama ni wazungu si lazima wawe raia wa kigeni..Hiyo keyword "wazungu" ....inasukumwa masikioni mwetu kwa nguvu......why?
Tofauti na familia yako hapana... Hata watoto wako wataadhibiwa utoro wasipoenda shule... Barozi ataenda shamba.Hivi ninge tekwa mimi...mnge guswa kiasi kama hichi
Yaani tatizo la kutekwa duniani wanalichukulia hatua kubwa zaidi rejea Jamal khashoghi (mwandishi wa habari)Pamoja na polisi wetu kuonyesha udhaifu mkubwa kwa namna wanavyshughulikia uhalifu kwa mifano (Matukio yaliyovuma sana ya watu kutekwa na kuuwawa, na tukio la kupigwa risasi Mb. Tundu Lissu), kwa hili tuwashauri polisi yakipita masaa 24 hajapatikana, basi waombe msaada vyombo vya nje ikiwepo interpol/FBI watusaidie kuwasaka hawa watekaji. Kwa tukio hili nchi inaweza kupata hasara kubwa sana, ukizingatia huyu Mo anatambulika kimataifa na network yake inalipa taiafa hadhi kubwa kuliko sisi maskini ambao hata tukipotea mia moja serikali inaweza kufumba macho na maisha yakaendelea kama hakuna kilichotokea.
Dah, basi ktk hiyo clip uwezo wangu wa kusikia na kutafsiri ulkuwa ktk kiwango cha chini sana hadi sasaHapana mkuu nami pia nilielewa hivyohivyo ila jamaa anamaanisha watahakikisha jamaa anapatikana na wahalifu kukamatwa pia
Mkuu muite Mshana jrDuh...yani ni juzi tu nimeota huyu jamaa katekwa
Sasa sijui wajuzi wa mambo hii ina maana gani?
JINGA'LAO kweli..Kwani uzungu upo kwenye sehemu nyeti?
Na hakuna ubishi juu ya hiloHiyo ni kazi ya mikono ya Magu, ndo style yake ya kuongoza
Si rahisi labda kama atakuwa alikutaarifu kuwa anaenda kuteka sehemu...(mzungumweusi)hivi unawezaje kumtambua mtu kuwani mzungu wakati kafunika mwili na uso wake?
Nenda kajadili hiyo thread,kwako ndiyo muhimu kuliko uhai wa Mo,Chadema ndiyo wamepata kichaka cha kujificha.
Hutawaona wakiongelea mbunge wao akiuewakimbia Ukerewe
Ni uchafuzi mkubwa sana kiuwekezaji nchini ni hatari kubwa sana kitaifa.je unafkiri ilitokea kwa baatimbaya?
ivi kwa nn wasitoe security footage
ili watu wanaowajua wawasaidie?
ni vipi waljua ni wazungu wakati mashuuda wanasema watekaji walvaa kininja?
hawawezi kusema uraia wao sabab itaathiri mahusiano ya kidiplomasia kama ni uwongo...
joto lmezidi so atapatikana sjui lini lkn myb watekaji wakitimiza adhma yao
Ni muarabu yule..Muhindi Mtanzania katekwa na Wazungu!
HahahahaKama MO anatekwa mi si ndo watanifyekelea mbali kabisa
Polisi yetu ilishapoteza matumaini kwa Watanzania,Mpaka sasa hivi bado haijajulikana alipo? vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitaonekana ni dhaifu sana iwapo mpk saa karibu sita bado mtu hajapatikana
Tuombe tu giza lisiingie tukapata kauli kama ya mwanza. Bwana aendelee kumuweka hai huko alipo mtanzania mwenzetu