Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Nakuelewa Sana.. Nilihisi inawezekana nikuhusiana Na udalali wake. Nikahisi kazinguana Na wafanyabiashara wenzie huko. Kama ni sababu ya kutikisa soko LA korosho basi kazi ikoo
Swadataaa.. uko mule mule..

Hilo ni onyo kwake na madalali wenzake..
 
Kimsingi hali inatisha...Mungu amsimamie wasimdhuru huko aliko kwani kuna wengi wanategemea ajira yake na familia zao.
 
Mo hajatekwa,
Amini nakuambia,
Yupo katulia zake salama salmini
Mo katekwa mkuu,, tena mi nna wasiwasi isiwe na majasusi wa nje ya nchi wanataka kuchafua taswira nzuri ya nchi yetu yenye kusifika kwa amani na uhuru wa kujieleza na democrasia yakuigwa
 
Mo katekwa mkuu,, tena mi nna wasiwasi isiwe na majasusi wa nje ya nchi wanataka kuchafua taswira nzuri ya nchi yetu yenye kusifika kwa amani na uhuru wa kujieleza na democrasia yakuigwa
"MO KATEKWA NA WAZUNGU WALIOVAA MASK" - BASHITE ,Bado nasubiri jibu la BASHITE kwamba atapatikana kesho kabla ya sala ya ijumaa.
 
Wiki iliyopita rais wa interpol dunian alitekwa nchini ufaransa mpaka leo hii hajaonekana. Zimebak rumos tu kwamba katekwa na wachina au wakorea lakin hajaonekana. So haya mambo si mchezo mchezo kwa wenye uwezo wakiamua.
Yule mchina alitekwa na idara ya usalama ya china, anachunguzwa kwa kashfa za rushwa..

Na walisha andika barua interpol kuwa wamemsimamisha kazi halafu huyo jamaa nimuungaji mzuri wa juhudi za mwenyekiti wa chama XI JIN PING
 
Dah tunaletewa movie nyingine
.sijui itakuwa na part 2?
.sijui itachezwa kwa ustadi au itafanana na zile nyingine?
.sijui inataka kumpa kiki nani ?

Wakati utasema...stay tuned....!!!!
Lazima tuseme kweli, utawala huu unafungua njia , na Njia kweupe kabisa, labda dewji atatafutwa kwa sababu ni tajiri na muhindi, lakini vitendo hivi vimekithiri na kuna viashiria kuwa hata vyombo nyeti vya serikali vinatumia Njia hii, kwa hiyo ukipanda mahindi punje tegemea, kuvuna mhindi mzima, halii hii imeanzia juu ya utawala huu.
 
He!, kumbe ndio maana wametoa taarifa kuwa atapatikana akiwa salama. Mchongo mzima kumbe wanaujua!
 
Halafu wanasema kapatikana mbona hawaelezei kwa undan? Kapatikana vipi ilikuaje atekwe.. Kuna picha nimeona WhatsApp inasemekana ya mtekaji mmoja wapo jamaa Ana sura ya kihalifu kabisa
Embe irushe humu na sisi tuliopo vijijini tuione kabla chaji haijaisha.
 
Kuna dereva alihojiwa redion alsema walielekea njia ya masaki. Ulinzi uwe mkali hasa baharini kujua ni chombo gani kimeingia na kipi kimetoka huku msako wa basement to basement ukuendelea ktk nyymba zote za ufukweni
Masaki unaijua au unaisikia?? Maharamia wote wako huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…