FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Swadataaa.. uko mule mule..Nakuelewa Sana.. Nilihisi inawezekana nikuhusiana Na udalali wake. Nikahisi kazinguana Na wafanyabiashara wenzie huko. Kama ni sababu ya kutikisa soko LA korosho basi kazi ikoo
Hilo ni onyo kwake na madalali wenzake..