Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Mi nikajuaga sinema zilisha poteaga kumbe bado..
Kazi kweli kweli
 
Wiki iliyopita rais wa interpol dunian alitekwa nchini ufaransa mpaka leo hii hajaonekana. Zimebak rumos tu kwamba katekwa na wachina au wakorea lakin hajaonekana. So haya mambo si mchezo mchezo kwa wenye uwezo wakiamua.
Hivi alitekewa Ufaransa au China?

Pia kuna habari kwamba hakutekwa bali serikali ya China inashikilia kwa makosa ya ufisadi
 
Kwani haujamsikia Mambo Sasa? Si kashasema Camera hazijanasa tukio #KiKi_Kwa_pikipiki....Akili Kumkichwa ukilemaa unaachwa ferry STUKA.

Nadhani huu ni uhuni wa CCM kutusahaulisha kitu fulani, utakuta Mo Dewji yuko home kwake anaangalia Tamthilia tu za kihindi na kina samlati, uku wabongo wako bize JF
 
kwa sisi wenye ndoa hii ya kwenda gym na kutekwa nzuri sana,unaondoka ijumaa jioni unaaga kwenda gym,unampanga msela wako atume sms kwa wife kwamba umetekwa habar zinasambaa kwa ndugu we kumbe uko Bunju kwa dogo dogo kakufungia ndani unakula raha,jumapili jioni unatoka mpk barabarani umejipaka tomato sosi unajifanya umeumia wasamalia wanakupeleka hospital wanampigia wife waki anakuja kukuona na kukudumia,unaruhusiwa unarudi home....maisha yanaendelea[emoji23]
Hujafikiria kuhojiwa na Polisi.!
 
Mi nikajuaga sinema zilisha poteaga kumbe bado..
Kazi kweli kweli
Nadhani tuchukue bakora tuwachape hawa wapenzi wa simba na dharau zao, yani wengine wanacheka wakati wallet yao imeporwa na wazungu asubuhi ya leo,
 
Duh sa hizo cctv ni za nn sasa kama zinashindwa kunasa kila anaeingia na kutoka au kila anaesogelea jengo husika!?
Ndio Jiulize ziliwekwa za nini na MO katekwa na "WAZUNGU" ndani kabisa si umeona gari yake ipo ndani na hao wazungu wamepita getini kabisa na Kiusalama CCTV huwa zinaelekezwa kwenye geti ili kuona watu wanaoingia na kutoka ila hili la "WAZUNGU" hawajaliona.
 
Na hiki ndicho kinaenda kuwatokea kila wasaliti wa kijamii. Social hypocrites wote kwa nyakati tofauti.
Ni maombi yangu MO apatikane akiwa mzima na salama, kwa point yako hapo juu, ni kweli UNAFIKI wa Viongozi wetu na Watanzania kwa ujumla umefanya hivi vitendo viwe endelevu na vionekane ni vya kawaida, leo hii Mwigulu Nchemba anapiga kelele kuhusu hili, ingawa alikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati matukio haya yameanza na hakuna hatua aliwahi kuchukua kama kiongozi mwenye dhamana.
Hili lisipite kimya na kusahaulika kama mengine, Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom