Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Muweke kwenye ignore listKiufupi mie simuelewagi huyu jamaa anajiita mgonjwa mtambuka!
Kuna wanazi wengi sana wa vyama na nawaelewa na kuheshimu misimamo yao ila huyu mmmmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muweke kwenye ignore listKiufupi mie simuelewagi huyu jamaa anajiita mgonjwa mtambuka!
Kuna wanazi wengi sana wa vyama na nawaelewa na kuheshimu misimamo yao ila huyu mmmmmh
Hata wewe ni tatizo vile vile. Hujioni.Wewe ndio tatizo,jion njema!
Rostam si alishakimbiaga nchi kumbe yupo?Ninawashauri wapelelezi (Intel) wafukue hata uvunguni mwa mtandao wa Rostam Azizi na wenzake pia. Kunaweza kuwa na kitu hapa.
Kwenye huu uzi hupumziki??Haaahaaa usipime[emoji15]
Tumetangaziwa na Akina Bashite hawahawa na Baba yake kipenzi kwamba nchi yetu ni ya Amani,Akina mambo ss wametuhakikishia kwamba nchi yetu ni ya Amani na Akuna shida walinzi wa kitugani sasa?Nyerere alikua ancheza bao na wazee mitaani.Ni swali fikirishi sana na wala silaumu najiuliza peke yangu,km diamond anapesa za kubadilishia mboga tu..anaulinzi nyumbani na popote anapotembea,vp bilionea moe?
Kwa level aliyonayo sikutegemea km angetekwa kirahisi vile...
Note:kila kitu kinatokea kwa sababu Nina imani atajifunza yeye na wengine pia.
Nina imani watamwachia akiwa salama ....Allah amlinde huko haliko....
mtu alikua anaingia gym asee hiyo bastola angeichomeka kwwnye tracksuit maana sitegemei kama alivaa nguo ngumu,atakua alikua ndani ya track au vipensi hyo bastola unaikumbukaje?Yule mfanyabiashara kule Tarime yeye aliwapiga Risasi bila msaada wa bodyguard iweje yeye ashindwe kujihami?
Kumteka tajiri namba 1 Tanzania Top 10 richest people in Tanzania (orodha ya matajiri 10 Tanzania) - JamiiForums ni kutangazia ulimwengu kuwa Tanzania sio salama tena kwa wawekezaji. Na hii italeta na negative impact kwenye uchumi wetu huu wa kusuasua.
Kama Mo alikua na makosa kwanini hawakumfungulia mashtaka na kumpeleka mahakamani? Au kwanini hawakumuita kiustaarabu na kumhoji?
Hili ni kosa kubwa sana na waliolifanya wanaitaji kushighulikia ipasavyo.View attachment 894096
haa haa eti waliomteka wanajulikana ni wazungu. hao watakuwa ni wazungu wa yanga. haa haa
HaswaaaaaTumkumbuke na Ben saanane!
Hivi alitekewa Ufaransa au China?
Pia kuna habari kwamba hakutekwa bali serikali ya China inashikilia kwa makosa ya ufisadi
Itakuwa ameangalia kwenye CCTV footage!