Nchemba naye siku yake ipo, kabla hajafa atayashuhudia magumu na mazito dhidi yake.Ni maombi yangu MO apatikane akiwa mzima na salama, kwa point yako hapo juu, ni kweli UNAFIKI wa Viongozi wetu na Watanzania kwa ujumla umefanya hivi vitendo viwe endelevu na vionekane ni vya kawaida, leo hii Mwigulu Nchemba anapiga kelele kuhusu hili, ingawa alikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati matukio haya yameanza na hakuna hatua aliwahi kuchukua kama kiongozi mwenye dhamana.
Hili lisipite kimya na kusahaulika kama mengine, Mungu ibariki Tanzania.