Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Mmmmh masoud kipanya alifanya nn tena?
 
Wakiwahitaji watasema ni Watanzania, lkn moyoni ni Wahindi 100%, rafiki zao ni Wahindi, wazazi wao ni wahindi, wake/girlfriends zao ni Wahindi, chakula, lugha na hata cocobeach ukienda wana sehemu yao Wahindi watupu!
Mo si muhindi ni waarabu asili wa kinyaturu.
Pale Singida unaweza zama kati huko porini kabisa na utawakuta wanaishi na wanafanya kilimo na biashara. Sema kujichanganya kwao ni kukaza dada zetu.we usiwaguse
Nilionja kidogo Zafrani Na Noorie enzi za utotoni
 
Lakini wanaume wa dar hebu mtuambie yani mlikua gym na mmeshindwa kumuokoa Mo au huko gym mnaendaga kujaza ujinga ama
 
Hivi kumbe hakuna mzungu ambae ni raia wa Tanzania?
 
Kuna kipindi waziri mmoja mnene anavaa nguo kubwa aliulizwa kuhusu watu kupotea akajibu "ni watu wazima wameenda kujitafutia maisha".......nadhani Mo kaenda kujitafutia maisha muacheni akifanikiwa atarudi.
Ndio wanapoona faida ya kurooka ropoka, jee ikitumika kauli hiyo kwa sasa itaeleweka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…