Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Kutumia neno wazungu INA upungufu, inaposemwa walijifunika nyuso. Vinginevyo pawe na uthibitisho. Si kila mweupe ni mzungu, kuna wahindi, warabu nk.

Well said, mbona kuna masks za kila rangi za ngozi pamoja na nywele za bandia za races zote.
 
Rais wa Interpol Serikali ya China imethibitisha kumshikilia.
 
Ben Saa8 mbona haikuwa hivi lakini hii pressure
Kosa la Ben aligoma kabisa kukubaliana nao so what called "mutual agreements...."

Sasa utachora mwenyewe kwamba ilikuwa ni kosa kwake amani msimano hadi dakika ya mwisho.
 
Act of Terrorism hii kitu, sio ccm wala chadema ,hapa kuna ugaidi tena mkubwa sana, wapekue pia kwenye embassies zilizopo nchini kwetu sio mahotelini tu, border ziimarishwe, huu ni ugaidi watanzania tusilaumiane tushikamane na tutoe ushirikiano kwa jeshi la polisi. Tena haya ni very professional terrorists , I'm telling u.
 
Ushikamane na nani? Wewe umekwisha gawanywa huvyo gawanyika zako huko
 
Jiji kubwa kama dar na eneo sensitive kama oysterbay au masaki halina hata CCTV camera?? Ngoja tuunge mkono juhudi walahi..
 
Wasiojulikana, wasiojulikana, wasiojulikana!... tasavali njooni mnichukue kisha nitupeni ulaya... halafu nendeni zenu!.. tasavali sana...
 
Wewe umejuaje kama watekaji ni professional terrorists???
 
Leo nilipita mahali nikasikia mtu mmoja akisema hivi "Mazingira mazuri ya magaidi kufanya kazi zao ni mazingira ambayo watu wanaishi kwenye lindi kubwa la umasikini wa kipato yaani pesa. Umasikini huu unaweza kuwa ni wa kujitakia kwa mtu mmoja mmoja au wa kujengwa na yeyote awaye na hasa mwenye mamlaka katika familia, jumuiya, n.k. iwe kwa maksudi au kwa kutokujua. Magaidi hawajahi kukata tamaa."
 
Kwa hiyo unafahamu nani kamteka? UJinga umezidi sasa!
Anyway mimi nakubali ni mjinga, ndio maana huko nyuma watu wengine walipotekwa na wengine kupigwa risasi tena mchana kweupe sikuchukua hatua yoyote ile na wala sina mpango huo, kwa maana ningechukua hatua kuwatafuta na kuwakamata hawa wasiojulikana leo hii MO DEWJI ASINGETEKWA, lakini nimeruhusu haya yatokee ili tuishi vizuri kama........

NB : Vitabu vitakatifu vimeandika UJINGA UTATAPAKAA KATIKA NYAKATI ZA MWISHO.

Tumegeuzwa kuwa wajinga na tutaendelea kuwa wajinga nalo hili litapita kama mengine kwa sababu ya ujinga wetu

I hope umeelewa kuwa mimi ni mjinga sasa
 
Tanzania hivi sasa sio tena nchi ya amani mpaka wafanya biashara wanatekwa na Watu wasiojulikana? Na wafanya biashara ndio wanayoifanya nchi ipate kuendelea kiuchumi na Kimaendeleo leo wanatekwa na Watu wasiojulikana?Wakati nchi yetu ina jeshi la Polisi, usalama waTaifa na majeshi mengine ya usalama wa taifa letu bado Watu maarufu wanatekwa na watu wasiojulikana na Serikali yetu ipo inaangalia hivyo?Ahh ama kweli Hapa kazi kweli.
 
Ushauri mzuri Hapo kwenye INTERPOL/FBI ili apatikane haraka akiwa hajadhurika..

Kwa nini Mo Dewji ndio waje FBI, yeye ana nini, nafsi tano?

Mbona nchi haisimami watu wengine wakitekwa, wakipigwa risasi bungeni, tena viongozi wa umma?

Hata FBI hawatakubali, unless kuwe na suspected political motives. FBI watawacheka mkiwaita kumtafuta raia mmoja katekwa!

Last year alitekwa tajiri Mwanza akakutwa kwenye gunia kafa, mbona airport hazikufungwa, kwa vile Mkurya mwenzetu? Mpaka awe tajiri wa kihindi?

Ridiculous self-loathing Africans.
 
Hii sasa too much
 
Hapa ni jukwaa la siasa. Tafadhali Mods hamisha thread hii kwa jukwaa husika.
 
Jeshi letu uwezo wake mdogo... ila hawawezi kukubali Intepol waje.
NB:BINADAMU WOTE NI SAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…