danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,524
Ila to be honest Mo alikua anajiexpose sana. Kama mfanyabiashara mkubwa ni wazi hawezi kosa maadui. Kwa status yake hakutakiwa kua exposed sana, tena bila ulinzi, inashangaza. Kuna siku mpaka alipanda boda boda town. Afu jamaa mara nyingi huwa yuko peke ake kwenye gari, wakati mwingine anasafiri hivyo mpaka singida