Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Ila to be honest Mo alikua anajiexpose sana. Kama mfanyabiashara mkubwa ni wazi hawezi kosa maadui. Kwa status yake hakutakiwa kua exposed sana, tena bila ulinzi, inashangaza. Kuna siku mpaka alipanda boda boda town. Afu jamaa mara nyingi huwa yuko peke ake kwenye gari, wakati mwingine anasafiri hivyo mpaka singida
 
Hivi members,hadi sasa kapatokanq au bado maana huu uzi nmeusoma wote taarifa full kugongana
 
Ila to be honest Mo alikua anajiexpose sana. Kama mfanyabiashara mkubwa ni wazi hawezi kosa maadui. Kwa status yake hakutakiwa kua exposed sana, tena bila ulinzi, inashangaza. Kuna siku mpaka alipanda boda boda town. Afu jamaa mara nyingi huwa yuko peke ake kwenye gari, wakati mwingine anasafiri hivyo mpaka singida

si hivyo tu, gari lake kaandika "MO," bilionea unaji expose, unakuwa ka Diamond Platinumz aliyeishia shule ya msingi Tandale?

halafu anatekwa airport zinafungwa, Kamanda Mambosasa anasema mipaka ya nchi imefungwa, ndio kuwekwa mfukoni na matajiri huko!

Nyerere is cringing in his grave he is so apoplectic, I mean, Julius Nyerere kamwe asingeweza kufunga mipaka eti tajiri mmoja katekwa.
 
Wasiojulikana tuiwakamata sisi tunawapiga kiberiti hakuna cha sheria kuchukua mkondo wake
 
Hao “watu watatu” wanaoshikiliwa vp hawajatoa taarifa za maana kuhusu hao wazungu waliomteka Mo?
 
ukiangalia too much Hollywood movies matokeo yake ndo haya. halafu tunategemea kukuza nchi ktk uchumi wa kati kwa kutumia vijana kama ninyi na mawazo kama haya
RFID ni kitu cha kawaida kwa wenzetu, tatizo je aliweka MO!?...
Na kama aliweka hawa watekaji wa kumbeba mtu hotel kama Colleseum ina maana walikua na A-Z za MO basi wana hadi tech ya kuzuia Signal za hicho kifaa!.
Tumerudi Zero!.
 
Hii Serikali imeshamfanyia kila mdau figisu.
Sasa Jiwe akikaa ofisini anawaza;
"Labda ni wakenya niliowachomea vifaranga vyao Moto......??"
"Au labda ni Barick wananihujumu....??"
"Au ni Sumaye niliyemnyang'anya shamba.....??"
"Hapana, itakuwa ni Mbowe maana yeye ndio nimemvurugia club nikaharibu na shamba....??"
"Au ni Lissu,maana huyu nae alikula risasi nyingiiii...??"
"Au Nape....??"
"Au Lema....??"
"Itakuwa Maalim Seif kwasababu naiua Cuf..??"
"Atakuwa nani huyuu.,..??"
"Au Manji...??"
"Rugemalila na Seth...???"
"Sijui itakuwa nani...???"
"Au wananchi tu wananihujumu...??"
"Ila ntalala nao mbeleee...!!"
 
Back
Top Bottom