Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Umemsahau Azori mkuu.
 
Tuache wivu.....wanahaki ya kufunga....
Mo..ni kama balozi asie rasmi wa Tz, hasa ktk masuala ya kibiashara na uwekezaji. Kupitia watu kama akina Mo...wawekezaji wanaweza kuwa na imani na nchi yetu na pia umashuhuri wake ni kama nafasi ya sisi kujitangaza..
Mtu anatajwa na magezeti kama forbes kama the youngest billonaire Africa etc..tena wanasema kabisa anatoka Tanzania huoni kama ni fahari kwa taifa..
Zaidi ya hayo jamaa kaajiri watu zaidi ya 20,000 manake kuna watu kama 100,000 wanaishi sababu yake..hivyo si mtu mdogo..ni mtu muhimu sana kwetu..
Waafrika tuachane na ego na wivu
 
Kuna issue ya ransom hapo watu hawajui.
Kibongobongo watu wanakutengenezea sinema wanalamba chao.
Bro nae hakujielewa tu angeweka vibaunsa viwili pale wale wakipanga mikakati wangechelewa kidogo wakivifikiria..
Kiswahili kigumu[emoji41]
Yule jamaa miaka yote hanaga mabaunsa hata ndugu zake na babake hawanaga manaunsa, mlinzi ni Mungu tu bro kama unaishi na watu vizuri mabaunsa wa nini?
 
Acheni mambo yenu ya instagram mnaleta huku ,umelipia tangazo?
 
RFID ni kitu cha kawaida kwa wenzetu, tatizo je aliweka MO!?...
Na kama aliweka hawa watekaji wa kumbeba mtu hotel kama Colleseum ina maana walikua na A-Z za MO basi wana hadi tech ya kuzuia Signal za hicho kifaa!.
Tumerudi Zero!.
Walau Neno mkuu, wachangiaji wengi uzi huu Sijui walikua bar!? tufikiri majibu challenge zetu,JF tuna hazina kubwa.
 
Aisee

Hivi watekaji hao unategemea ni watoto wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…