Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Habari nzito kama hii,abgekuwa nani ndo ingekuwa nyepesi?

Zakaria taarifa yake ilitolewa na polisi?

Ya Roma mkatoliki ilitolewa na Polisi?

Ya Masoud kipanya ilitolewa na Polisi?

Ya Ben saa nane ilitolewa na polisi?
Ya Tundu Lissu ilitolewa na polisi?

Ya Hussein Bashe na Msukuma Dodoma ilitolewa na Polisi???

Nguvu ya social networks ni kubwa sana,kama kila habari ingesubiriwa kutolewa na polisi,hasa habari kama hizi,basi yote hayo hapo juu,kamwe tusingeweza kuyajua!!!
Umemsahau Azori mkuu.
 
si hivyo tu, gari lake kaandika "MO," bilionea unaji expose, unakuwa ka Diamond Platinumz aliyeishia shule ya msingi Tandale?

halafu anatekwa airport zinafungwa, Kamanda Mambosasa anasema mipaka ya nchi imefungwa, ndio kuwekwa mfukoni na matajiri huko!

Nyerere is cringing in his grave he is so apoplectic, I mean, Julius Nyerere kamwe asingeweza kufunga mipaka eti tajiri mmoja katekwa.
Tuache wivu.....wanahaki ya kufunga....
Mo..ni kama balozi asie rasmi wa Tz, hasa ktk masuala ya kibiashara na uwekezaji. Kupitia watu kama akina Mo...wawekezaji wanaweza kuwa na imani na nchi yetu na pia umashuhuri wake ni kama nafasi ya sisi kujitangaza..
Mtu anatajwa na magezeti kama forbes kama the youngest billonaire Africa etc..tena wanasema kabisa anatoka Tanzania huoni kama ni fahari kwa taifa..
Zaidi ya hayo jamaa kaajiri watu zaidi ya 20,000 manake kuna watu kama 100,000 wanaishi sababu yake..hivyo si mtu mdogo..ni mtu muhimu sana kwetu..
Waafrika tuachane na ego na wivu
 
Kuna issue ya ransom hapo watu hawajui.
Kibongobongo watu wanakutengenezea sinema wanalamba chao.
Bro nae hakujielewa tu angeweka vibaunsa viwili pale wale wakipanga mikakati wangechelewa kidogo wakivifikiria..
Kiswahili kigumu[emoji41]
Yule jamaa miaka yote hanaga mabaunsa hata ndugu zake na babake hawanaga manaunsa, mlinzi ni Mungu tu bro kama unaishi na watu vizuri mabaunsa wa nini?
 
Faida za kutumia formula yangu ya matunda (tibalishe)

Lazima uwe na whats app ndio utumiwe formula kama huna whats app usitume pesa zako hutopata formula

1.kukufanya uwe na uume imara

2.kukufanya uwe na uume usiosinyaa ukeni kabla ya kuingiza na baada ya kuingiza

3.kukufanya uume usimame haraka na kudumu ukiwa imara

4.kufanya uchelewe kumwaga shahawa wakat wa tendo la ndoa utachukua dk 15_25

5.kukufanya uwe na shahawa nyingi na bora

6.kukufanya uwe na shahawa zinazookimbia kwa kas wakat wa kusex

7.kukufanya urudie tendo la ndoa zaid ya mara tatu bila kuchoka

8. Hukufanya uwe na hamu ya tendo kama zaman unaweza ukasex kila siku round mbili na hamu isiishe lakin haikufanyi ikusumbue kutaka mwanamke kila mda hapana unakua kawaida kabisa kama ulivyo mpaka utakapoamsha hisia zako mwenyewe ndio hamu inakuja kwa ufupi unakua dereva wa hisia zako.

9.kuimarisha mishipa iliharibiwa na punyeto

10kuimarisha misuli ilihoharibiwa na punyeto

11.kuzibua mishipa iliyoziba kwa mafuta yanayoganda mwilin

12.kupandisha uzalishaj wahomone kurudi katika hali ya kawaida.

13.kuchochea usamabazaji wa damu kwenda sehem mbali mbali za mwili

14.kuipa afya njema mishipa ya moyo (artery na vein)

15.kuondoa hatar ya kupata shinikizo la damu

16 kuondoa hatar ya kupata ugonjwa wa moyo

17 huindoa sumu mwilin na kukufanya ujisikie mwepesi
18. Huondoa kitambi na mafuta mwilin
19. Kukufanya uwe kuona vyema

20. Kukufanya uwe na kinga imara na ya hali ya juu kupambana na magonjwa
0712505049
@pona_nguvu_zakiume_kwa_matunda
Acheni mambo yenu ya instagram mnaleta huku ,umelipia tangazo?
 
RFID ni kitu cha kawaida kwa wenzetu, tatizo je aliweka MO!?...
Na kama aliweka hawa watekaji wa kumbeba mtu hotel kama Colleseum ina maana walikua na A-Z za MO basi wana hadi tech ya kuzuia Signal za hicho kifaa!.
Tumerudi Zero!.
Walau Neno mkuu, wachangiaji wengi uzi huu Sijui walikua bar!? tufikiri majibu challenge zetu,JF tuna hazina kubwa.
 
Back
Top Bottom