Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

ni kher kuish na wasiwas na wanyam porin kuliko kuish uraian na wasiwas ya wanadam wenzako
 
Nasikia Mungu wa dar kasema eti wale wazungu ni wageni!! Je ni wageni wa nchi gani???
hawataweza kutaja nchi wanajua wazungu watavo wazingua wakichafua jina la nchi yao
izo ni saundi tuu za kutuliza munkari za raia
 
Hili si tukio dogo. Ni vyema serikali ikalibeba kwa uangalifu mzito.
Wakifanikisha utani pm. Kwa mana inasemekana waliomteka ni wazungu na serikali ipo inajuwa wageni wake wote waliopo nchini sasa kama jamaa wameweza kuteka mtu homeland kwake si kwere hii mzee mwenzangu.
 
Duh!Watu wasioujulikana hao bila shaka!

Hii nchi sasa!!

Walitekwa na kupotea watu wa kawaida, tukaona ni mambo madogo.Leo wanatekwa matajjri na watu maarufu labda sasa ndio tutashituka.

Nakumbuka pia yaliompata Lissu na mfanyabiashara wa Tarime bwana Zakaria.

Wacha tusubiri tuone nini kinaendelea tutapata picha kamili.

Kwa sasa wanaweza kuwa wanapima upepo.Pressure ikiwa kubwa,wanaweza kumwachia ikiwa mpaka sasa bado yuko salama.

Hii update kuwa katekwa na wazungu,inanipa maswali mengi sana na mojawapo ni wazungu gani hao wa kumteka mtu tajiri kama huyo tena wakiwa katika nchi ya watu?

Wanajiamini nini?
Utawala mbaya sana huu. Mambo waliyomfanyia Mheshimiwa Lissu yalinisikitisha sana bado wanaendelea! Halafu bila aibu polisi inadai ni wazungu. Polisi ilijuaje ni wazungu au wanapotosha makusudi? Kama waliwaona ni wazungu kwa nini hawakuwakamata mara moja?
 
Kati ya mambo yanayoenda kuchafua taswira ya nchi yetu basi hili la kutekwa kwa MO linaeanda kuchafua mbele ya wawekezaji wakubwa.Tumuombee MUNGU awe salama na wote waliohusika na tukio hili wapatikn ili hatua kali ziweze kuchukuliwa dhidi yao
 
Hivi mnadhani kama angekuwa na gym nyumbani ndio asingetekwa? Hawa watekaji sio wa mchezo mchezo hadi kuamua kumteka mtu kama Mo ujue wapo vizuri na wamejipanga. Angekuwa na gym nyumbani halafu akamteka hapo hapo mngekuja na hoja kwanini anakuwa na gym nyumbani, si angetafuta sehemu yenye ulinzi zaidi.. Jamaa wamefanya mahesabu vizuri sana,
 
Hahahaaa usiku ule Mwenyekiti CCM tarime alitwambia ni majambazi, Alfajiri yake Adam Malima akakurupuka kutwambia eti ni askari usalama walikuwa wakitekeleza majukum yao baada ya kupigwa risasi na Ccm mwenzao Zacharia.
Ikumbukwe mwezi mmoja nyuma kuna Mfanyabiashara aliokotwa kwenye gunia kualiwa ktk fukwe za victoria.
Mkuu wachache wenye maono ya mbali.we gine mbugila tu.mchezo mchafu
 
Kuna dereva alihojiwa redion alsema walielekea njia ya masaki. Ulinzi uwe mkali hasa baharini kujua ni chombo gani kimeingia na kipi kimetoka huku msako wa basement to basement ukuendelea ktk nyymba zote za ufukweni
 
Dah tunaletewa movie nyingine
.sijui itakuwa na part 2?
.sijui itachezwa kwa ustadi au itafanana na zile nyingine?
.sijui inataka kumpa kiki nani ?

Wakati utasema...stay tuned....!!!!
Waliofunika uso wamewajuaje kama ni wazungu? Wahindi, wachina au warusi maana hao ndo wanaujuzi wa kupoteza watu chini ya Putin. Labda wakwetu wamekwenda kozi huko.
 
Back
Top Bottom