Hili si tukio dogo. Ni vyema serikali ikalibeba kwa uangalifu mzito.
Ni Tukio ambalo linaweza kuathiri vibaya zaidi hali ya uchumi wa nchi kama halitashuhulikiwa kimakini!!! INVESTORS ARE WARY OF SECURITY ISSUES!!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili si tukio dogo. Ni vyema serikali ikalibeba kwa uangalifu mzito.
Wazungu nao kumbe wamo...?Kumbe ni wazungu View attachment 894122
Sidhani kama bodyguard anaweza Ku guarantee usalama wa mtu for 100%Hatembeagi na bodyguard?
Umenichekesha mkuu......saundi juu ya saundihawataweza kutaja nchi wanajua wazungu watavo wazingua wakichafua jina la nchi yao
izo ni saundi tuu za kutuliza munkari za raia
Everyone is suspect until provenDereva wa uber angesema haraka kama ni wazungu
Ngoja nikae kimya ili sinionekane mfuata upepo fulani hivi.Kuna hizi habari kwamba Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametekwa leo asubuhi maeneo ya Collosium Gym , Oysterbay alipokuwa ameenda kufanya mazoezi..
Mwenye habari kamili atujuze.
======
UPDATES:
Mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji (Mo Dewji), anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha za moto, saa 11 alfajiri wakati akiingia kufanya mazoezi katika gym ya Colosseum, Oysterbay jijini Dar leo Oktoba 11. Kamanda wa Polisi Kinondoni, Jumanne Muliro athibitisha.
RPC Lazaro Mambosasa amesema Polisi Dar inafuatilia madai ya kutekwa kwa mfanyabiashara huyo maarufu nchini
UPDATE 1:
Dereva wa Uber amesema aliona watu 4 wakishuka kwenye gari dogo, wakiwa wamejifunika usoni, wakapiga risasi moja juu na kumchukua Mohammed Dewji
UPDATE 2:
RPC Lazaro Mambosasa amesema waliomteka mfanyabiashara Mohamed Dewji (Mo) ni wazungu wawili. Aidha, amesema msako mkubwa unafanywa kwa raia wa kigeni wote waliopo nchini kufuatia kutekwa kwa Mo Dewji
UPDATE 3:
RPC Lazaro Mambosasa amesema watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano kuhusu kutekwa kwa mfanyabiashara Mo Dewji
[emoji23] [emoji23] Nina hasira ila nimechekaKama MO anatekwa mi si ndo watanifyekelea mbali kabisa
Hata maadui anao...wafanyabiashara huwa na mambo mengi sanaAkipita kwa hili aanze kuishi kwa tahadhari, awe na ulinzi 24hrs, aache kujiamini kupita kiasi, Dunia ina mengi hii.
Japo wengi wanaamini ata walinzi binafsi mda mwingine wana matatizo yaoNgoja nikae kimya ili sinionekane mfuata upepo fulani hivi.
Polisi fanyeni kazi yenu ya kulinda raia pamoja na mali yake.
Mungu aingilie kati ili MoDewji apatikane akiwa salama salimini.
USHAURI
Kama unajua kuwa una mali plse jaribu kuwa na ulinzi binafsi.
ASANTE
Habari wakuu? Nimepita maeneo ya collosium hotel hapa oysterbay inasemekana bosi huyo alikuwa gym ametekwa ni kweli?
Akina Le mutuz hawajali hilo wao na akina , Kisanduku, Msiba wanaangalia matumbo yao pekeeNi Tukio ambalo linaweza kuathiri vibaya zaidi hali ya uchumi wa nchi kama halitashuhulikiwa kimakini!!! INVESTORS ARE WARY OF SECURITY ISSUES!!.
Ni ukweli kabisa mtanzania hana/hatuna uwezo wowote ule wa kuwafanya chochote watawala wetuMtanzania husahau haraka sana. Wala huhitaji kuweka tukio lolote. Wacheni kukariri. Na hata asiposahau hana uwezo wa kufanya chochote.
Vipi hao watekaji mmewalipa shilingi ngapi?Nope!
Criminals(ccm) killing our brothers and prophets( saanane) while we stand aside and look. We must find solution for this pollution.Something has to be done, haki ya Mungu. Ni lazima kifanyike
Karate haifanyi kazi kwa belletaGym sawa angeenda kwenye karate pangechimbika